27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

92

Joshua Loligo: Nikijoki embanga tena siar pairag.

Translator: Akuambie ondoka katika kitanda hiki mimi nilale,

Joshua Loligo: Keramat si ana enkop ear.

Translator: Sioni kama ni jambo la kusaidia.

Joshua Loligo: Ore na enikingo.

Translator: Maoni yake,

Joshua Loligo: Encho serikali paton pemeti iltunganak loriko ate.

Translator: Kila watu katika sehemu yao wajisimamie wenyewe na kujitawala wenyewe.

Joshua Loligo: Amu tenikijoki oltunganai imbanga tena aji ino mairaga nijo aar tua.

Translator: Maana yule mgeni anapokuja na kusema anataka kukaa pale, basi atafurugana na wewe na anataka kukupita.

Joshua Loligo: Ore amu oltunganai oiriwaki pelotu adol nena omon.

Translator: Na kwa sababu umetumwa kuja kuchunguza mambo haya,

Joshua Loligo: Itoningutwo entoki natejo.

Translator: Mmeelewa vile anayvosema.

Joshua Loligo: Ore enarikino ninchocho netum iltunganak uhuru amu eti iltunganak oironya oyieu tata ena kata.

Translator: Anasema kila jamii iwe na uwezo na uhuru wa kujiongoza katika sehemu zao maana kuna watu ambao

wananyanyaswa katika Kenya wanaoishi.

Joshua Loligo: Ore ena mwisho palo aton.

Translator: Jambo la mwisho,

Joshua Loligo: Ore nguesi neti atua enkop ang ormaasai.

Translator: Amesema sisi ni jamii ambayo tumechanganyika na wanyama.

Joshua Loligo: Neti enkop najo Tsavo.

Translator: Kuna Tsavo National Park,

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!