constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
52

Com. Bishop Njoroge: Asante sana. Tupate Maeleshi Ole Ntwasa. Joshua Gathegi. Amina Abdullahi. Anafuatwa na David

Toniki. David Toniki yuko? Ibrahim Kailepi? Yuko?

Amina Abdullahi: Kwa jina mimi ni Amina Abdullahi na ningependa kuzungumzia habari ya wamama. Urithi wa wamama,

usiingiliwe na familia ama late husband’s brother. Mali yake isimamiwe na mama na watoto wake. Ya pili, girl-child education.

Lazima tuzingatie girl-child education chini ya miaka kumi na tano, kuoa msichana wa miaka hiyo, ashitakiwe na sheria.

Economy of land and natural resources: Development ya economy, lazima 10% ama 20% iwe inajulisha akina mama.

Pesa za umma za Serikali: Lazima pesa za umma zijulishwe umma na isitumiwe kwa kuibiwa ama kutumiwa ovyo ovyo. Kila

umma itumiwe. Ziwe certain groups, wachaguliwe kama private, wasuluhishe pesa zao vile wataweza kuzitumia. Public and

private land need to be based on a clear framework.

Culture: Utamaduni wetu sisi Waafrika tusiwache hasa kwa upande wa wasichana, tohara yao, kila mtu ana tabia yao. Maasai,

Somali, Samburu, lazima ipitie kwa elders. Thank you.

Com. Bishop Njoroge: Asante sana Mama Amina kwa maoni hayo. Ibrahim.

Ibrahim K. Kailepi: Mimi naitwa Ibrahim Kailepi kutoka eneo ya Lasiti. Maoni yangu; Rais achaguliwe na umma. Rais akija

aweke (inaudible) yeyote ya nchi yake, wananchi wapewe nafasi ya kuuliza maswali Rais. Watoe maoni yao mbele ya Rais.

Kwa sababu Rais akija tu hivi, raia aruhusiwe kusema nia yao mbele ya Rais. Tena, pahali kuna vyama vingi, inaweza kuwa

mwenye chama fulani ana maoni ya kutoa shida ya area yao lakini hajapewa nafasi na msimamizi wa area hiyo. Kwa hivyo Rais

akisha chaguliwa, raia apewe nafasi ya kusema shida zake.

Mahakama: Kungestahili kuwe na wazee wa mahakama kwa sababu wazee wa mahakama wanaweza kiutetea mtu mchanga.

Kwa sababu siku hizi mahakama wanategemea pesa. Inaweza kuwa wazee wa mahakama watamtetea mtu mnyonge.

Shule: Shule hasa Sekondari, katika Sekondari kamati za board zivunjwe, P.T.A. ipewe isimamie shule zao. Wazazi wasimamie

shule zao. Wajue pesa ya shule inaenda aje, maendeleo ya shule inaenda aje. Itolewe kamati za boards kwa sababu boards,

unakuta mfanyikazi yuko katika idara fulani, ambaye anakuja kuchukua hizo pesa, hana mtoto katika shule hiyo. Kwa hivyo

hana uchungu na pesa ya shule hiyo. Mwalimu Mkuu akipatikana na kosa siku hizi hachukuliwi hatua kisheria anapigwa transfer

shule zingine. Sasa ameumiza shule hii, bado ataenda kuumiza shule ile. Kwa hivyo achukuliwe hatua ya kisheria na sio transfer.

Vijijini: Vijiji yafaa tuwe na wazee wa vijiji. Wazee wa vijiji watakuwa na nafasi ya kujua shida za wananchi wao. Kwa sababu

wenye shida, watakuwa na shida ya kuuza ardhi yao. Lakini wale wazee wa vijiji wataahidi kuwa huyu mtu anauza shamba bila

sababu maalum ama vile kwa sababu inajulikana tabia yake. Kwa hivyo wale wazee wa vijiji wapewe nguvu ya kusimamia vijiji