constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
95

Translator: Na yeye angependelea wananchi wawe wakimchagua.

Jacob Mparapari: Ore sininye eaku egeluaki.

Translator: Chifu akiwa amechaguliwa,

Jacob Mparapari: Na larin imiet si ake kincho.

Translator: Anataka awe akikaa miaka tano,

Jacob Mparapari: Ore na tata kuhusu mabunge.

Translator: Jambo lingine ni kuhusu Wabunge,

Jacob Mparapari: Na larin imieta ana enikigira ake aiendelea.

Translator: Angependelea wakae miaka mitano vile wanakaanga.

Jacob Mparapari: Ore entoki nanu nadolita.

Translator: Yeye yale mengine anaona,

Jacob Mparapari: kuhusu Katiba.

Translator: Ambayo inahusu Katiba,

Jacob Mparapari: Nikiomon Katiba peyie meinyanyasa oltungani obo.

Translator: Anasema tuangalie sana isiwe inanyanyasa watu wengine.

Jacob Mparapari: Amu sidai teneti jirani naningo.

Translator: Kwa sababu angependelea watu wanakaa pamoja na wawe wanasikizana.

Jacob Mparapari: Ore kuhusu majimbo.

Translator: Yeye maoni yake kuhusu Majimbo.

Jacob Mparapari: Ne torono.

Translator: Si mbaya,

Jacob Mparapari: Kake me ene nkabila.

Translator: Lakini Majimbo ile anazungumzia si ya ukabila.