27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

72

nikiyieu na tenkaraki oltungani loiti ene majimbo naatae oltunganak oti Oloitokitok.

Com. Lethome: Kwa hivyo majimbo iwe katika kiwango gani?

Translator: Anasema ya kwamba Majimbo kama kuna wakaaji wanaoishi katika hii sehemu, wawe chini ya hilo jimbo la hiyo

sehemu ama hiyo wilaya. Yaani kulingana na vile anavyoelezea ni kwamba angetaka iwe kwanzia ngazi ya juu mikoani mpaka

wilayani. Ndio anasema.

Com. Lethome: John Komoi. Afuatwe na Tairiam Malinka.

John Komoi: Kwa majina mimi naitwa John Theiya Komoi, mkaaji wa Loitoktok. Kwanza nikianzia na uchaguzi, ningetaka

Rais awe anachaguliwa na wananchi wote na pia awe na siku ya kuchagua uchaguzi wa Rais peke yake, ule wa Wabunge na

Ma-Councillor, siku ziwe tofauti.

Pia la pili tungetaka katika ofisi ya Rais, watu kama Katibu Mkuu, cheo cha Katibu Mkuu iondolewe kwa kuwa mimi sioni

kuwepo na Katibu Mkuu na pia kuna Waziri ndani ya hiyo ofisi.

Com. Lethome: Permanent Secretaries?

John Komoi: Permanent Secretaries. Na ni wizara moja. Iwe Waziri yuko, Katibu Mkuu yuko na sijui nani mwenye nguvu

hapo. Mmoja aondolewe kama huyu Permanent Secretary aondolewe, iwe Waziri peke yake ndio wanahudumu katika hizi

ofisi.

Nikija upande wa ukulima maana mimi ni mkulima wa Loitoktok niseme kwa kweli soko huru hii ambayo ililetwa inatuumiza sisi

kama wakulima na inaturudisha nyuma sana. Kwa hivyo Katiba ambayo tunayoongea ya kileo, tungetaka itazame na iondolewe

kabisa. Pia nikija upande wa forests ambayo inazunguka eneo zingine, forests za aina yeyote katika Kenya hii yetu. Ningetaka

wale wananchi ambao wanakaa karibu wawe ndio watawala wa ile forests na wawe ndio wanaangalia masilahi ya zile forests

kuliko forester ambaye anatolewa kutoka pengine Mt. Kenya ama anatolewa kutoka Pwani, anakuja kumiliki ile forest,

anafanya kama mali yake. Wale wananchi wanao zunguka zile forests wanakosa kuelewa ile forest inawaaidia kwa njia gani.

Wanakosa matumaini, haina faida yeyote ambayo wanapata. Inakuwa kama ni mali ya yule forester ambaye amewekwa pale.

Upande wa elimu: Ningependa elimu iwe kama zamani. Iwe kwamba elimu ni ya bure kwanzia nursery mpaka form four.

Lingine kwa upande wa Amboseli areas ama sehemu ambayo ilinyakuliwa kitambo kabla sisi hatujazaliwa pengine ilikuwa

imeshanyakuliwa. Tungetaka irudishiwe wale wananchi ambao ni area zao zilinyakuliwa. Nikisema hivyo nasema tu, sio area ya

Ki-Maasai peke yake maana Wa-Taita wako karibu na sisi, pengine wao wamenyakuliwa ardhi yao. Kwa hivyo ningetaka

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!