27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

14

Kwa hivyo katika Africa, ningependa Rais awe na mamlaka lakini mamlaka yake iwe reduced na Prime Minister apewe ingine

lakini President awe na say ili aweze kutawala nchi.

Bunge: Bunge pia iwe na control although wao ni lawmakers. Kwa sababu, kama mnavyoona, wamejipatia mishahara mikubwa

na wao kama lawmakers, wangekuwa fair. Maana civil servants, the labour force hata wao wangeinuliwa ile mishahara.

Mishahara ya wabunge na civil servants ama wafanyikazi wa Serikali, iwe kidogo – Ikiwa kama hiyo sasa ni mingi, iwe

reduced na igawanyiwe wananchi wengine wa Serikali maana wanafanya kazi muhimu katika Kenya. Ili hiyo nafasi ipewe

wengine ambao wako chini na wengine wako juu. Nafikiri wakati huo watakuwa fully independent of the people. Maana hata

sasa, raia wanalia. Hata ingawa wanawatala na kuwaongoza kwa sababu ya pesa nyingi ambazo wamejipatia kwa sababu

wanataka mamlaka ya kufanya hivyo.

Jambo lingine ni KWS: Elephant problems and their destruction. Ningependa KWS katika hapa UMaasaini ama pastoralists,

wanyama wale wako katika national parks ni wachache na wale wako katika group ranches ni wengi kuliko wale ambao wako

katika council.

Sasa, international donors wanatuma pesa nyingi kwa sababu ya hawa wanyama wa porini ili ile ecosystem ambayo sasa

wanataka kusaidia community kwa kupata hiyo pesa. Lakini hiyo pesa ni kidogo inakuja kwa wananchi, kwa community. Pesa

nyingi inachukuliwa na wale wasimamizi wakubwa ambao wanafanya kazi katika KWS. Hiyo pesa yote iwe ikiingia kwa wale

wananchi ambao wanyama hawa wanawaua, wanaharibu mimea yao na wanaua ng’ombe zao na kueneza tickborne disease.

Pia ili wananchi wafurahi na waweze ku-conserve wale wanyama wa porini kwa njia ile ambayo inafaa kwa sababu tunajua ya

kwamba, wanaletea Kenya pesa nyingi za kigeni.

Nikija katika Provincial Administration, mimi ninaunga mkono Provincial Administration waendelee. Bwana Commissioner,

ulikuja saa hii na ukampongeza D.O. kwa sababu ya ile arrangement amefanya mpaka hii kazi yote inafanywa. Tena ukiangalia

amani na ushirikiano wa wananchi uko. Kama Provincial Administration ikiondolewa, iwe ni politician kama mimi ama kama

wengine, tuta-create tribalism, nepotism na mambo yale mengine ambayo ni tajiri ya kila community. Na Provincial

Administration - huyu D.O. ametoka Mandera, lakini mimi nikiingia hapa nina-clan, nina age group, nina party lakini yeye hana.

Anafaa wale wananchi properly vile inavyohitajika kulingana na sheria ya nchi.

Nikija katika Elections - Election process. Tunataka mambo ya elections yasimamiwe na Electoral Commission hata agents

wote, ili kusiwe na rigging. Kuna mambo mengine ambayo hayafai. Ili tupate uchaguzi wa haki, wananchi wapate ule uchaguzi

ambao wanahitaji ambao wao wenyewe wanapenda. Maana kama mimi nikija kutoa agent, huyo agent hatapenda yule mpinzani

wangu na mpinzani wake hatanipenda. Hata wale wa ku-decide ni sisi raia, tunaangalia tunampa kiti na sisi ni binadamu. Lazima

Wamaasai wampatie kiti na sheria inapotea hapo tunataka kila kitu kichukuliwe na Electoral Commission - usimamizi wote wa

uchaguzi ili tuwe na fair and just elections.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!