constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
15

Local Authority: Tunataka Local Authority isimamiwe na Serikali kwa sababu ukiangalia kutoka locations, Councillors

wanaenda hapa, all the plots anafanya kama property yake na ni mali ya wananchi wa pale. Inatakiwa all planning, plots ziwe

zikidhibitishiwa pale, ziki-allotiwa pale na ziende kwa wale watu ambao wanastahili kupata badala ya an individual kuja

kuzipatiana kwa watu marafiki na kutumia political party apatie wale watu anapatia ama anyime wengine. Maana plot ni ya all

the parties sio ya party moja. Kama mimi sasa nikiwa Chairman wa KANU, niseme watu wa KANU wapewe, wa D.P.

wasipewe. Hakuna justice hapo. Tunataka plot ziwe pale na watu wote waangalie pale na Provincial Administration ya mahali

pale waangalie na viongozi wengine. Ili wananchi wapate haki yao kama plot ni hali ya kila mtu ambaye ako katika hiyo sehemu.

Com. Bishop Njoroge: Mheshimiwa you have used almost fifteen minutes. So please wind up.

Honourable Sing’aru: National Park: Hapa Maasaini ni national park. Tunataka kama hizi national parks, hizi national parks

zirudishwe kwa wananchi maana wanyama wanatoka ndani ya park, wanakuja kula mashamba na kurudi katika park. Na ng’

ombe hawawezi kuruhusiwa. Tunataka hata ng’ombe waruhusiwe maana wanyama wale wako ndani ya group ranches, are

more than those animals that are in the group ranches.

Education iwe compulsory na tukitaka education iwe compulsory, Chief Act irudishwe maana kuna watu wengine ambao

hawajui faida na maana ya elimu. Ili sasa watoto walazimishwe kwenda skuli.

Ya mwisho ni KMC. Unajua sasa liberalization imeua biashara, mapato ya wakulima hawapati. Hata KMC iko pale kama

picha na haisaidii chochote. Na unajua pastoralists, hawana shamba lingine, hawana kahawa, hawana majani, wanategemea

nyama. Tunataka iwe-revived ili iweze kusaidia wafugaji wa aina yeyote. AFC, isiwe (inaudible) iwe kama bank. Malipo ya hii

AFC iwe kidogo ili iweze kusaidia wananchi ambao wako pale.

Nikimalizia ya mwisho, AFC ziwe banks na interested rates ziwe chini na iwe kama bank. Ya mwisho ni Maasai customary law,

unajua Maasai Customary law, kama mwanaume akifa na bibi hana wavulana ni wasichana, yule mwanamke anafukuzwa.

Tunataka mama akibaki arithi bwana yake katika ardhi na katika property ya aina yeyote.

Political Parties: Tusiwe na mingi kama hizi arobaini na tano, tuwe na four strong political parties katika nchi. Ili mtu akiona, this

party is not good, aingie hiyo ingine. Yangu ni hayo na ninasema asante kwa kunisikiliza. Thank you very much.

Com. Bishop Njoroge: Asante sana Mheshimiwa, utajiandikisha pale. Paul Njuguna.

Paul Njuguna: Asante. Mimi naitwa Paul Njuguna, mfanyibiashara Loitoktok na pia Secretary wa DP katika location. Kwa