27.11.2014 Views

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

constitution of kenya review commission (ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

80

imefikia hapo.

Com. Lethome: Mtu akiuliwa na mnyama alipwe na K.W.S.

Philip Mosot: Ilipwe na K.W.S. kwa sababu ni Serikali.

Com. Lethome: Na sasa umesema, unataka Tsavo na Amboseli irudi kwa Wa-Maasai. Kwa hivyo iwe ni ya Wa-Maasai?

Philip Mosot: Ya Wa-Maasai.

Com. Lethome: Sasa ikiwa ni yao, ikiwaua nani atawalipa?

Philip Mosot: Wakiuawa sasa sisi ndio tutakaa ya kwamba wale watu wanashikilia hapo sasa, kwa sababu wanyama wako

Amboseli, sisi tutakaa na viongozi kuamua ya kwamba, huyu mnyama wetu, kwa sababu ni mnyama wetu, italipwa ng’ombe

ngapi au itakuwa namna gani. Kama vile watu wanalipwa.

Com. Lethome: Asante sana. Noah Rapwetu. Halafu afuatwe na Julius Kole. Julius Kole yuko? Koyan Masunga? Endelea

Noah.

Noah Rapwetu: Majina yangu naitwa Noah Rapwetu. Nataka sehemu ya Kuku. Ningependa kuongea kwa Ki-Maasai. Ore

na sinye maoni ai tena olong tenkaraki engibelekenyare e Katiba.

Translator: Anadai kwamba maoni yake kwa siku hii ya marekebisho ya Katiba.

Noah Rapwetu: Na kalo aimaki nkuti.

Translator: Anataka kusema hivi;

Noah Rapwetu: Naiteru te nchoto olaiguenak.

Translator: Angetaka kuzungumzia mamo ya Chiefs,

Noah Rapwetu: Ore tenchoto olaiguenak.

Translator: Mambo ya Ma-Chiefs,

Noah Rapwetu: Kadol sinanu ajo eisidai ake teneshukoki meta raia nagelu.

Translator: Ni vizuri sana raia wawe wakichagua Chiefs.

Noah Rapwetu: Amu kidol oshi ajo ebaiki na pooki tunganak oshi ogelu ashu teda wueji egeluni.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!