Views
10 months ago

vipaji_pages1-100

hugggugu

• Udadisi wa kujua

• Udadisi wa kujua maana ya maisha • Uwezo wa kujitawala kibinafsi wakati wa kujifunza • Kutamani sana kupata uzoefu wa ndani ya nafsi • Uwezeshaji na uhamasishaji wengine • Kufurahia kufikiri mikakati, kuandika makala na kupenda mikakati ya kujitathimini binafsi • Kujua ukomo wa mipaka ya uwezo wako • Uwezo wa kuchambua, kubaini na kutathmini mambo/ mazingira Fursa Za Kitaaluma Kipaji cha ubunifu kina fursa nyingi za kitaaluma iwapo mwenye kipaji hiki atajaliwa kujitambua mapema na kukinoa kwa ajili ya matumizi yenye tija. Baadhi ya fursa ambazo mwenye kipaji cha ubunifu anaweza kuzimudu kwa ufanisi mkubwa ni pamoja na kuwa: • Jaji • Mshauri • Wakili • Mkufunzi • Mwanasheria • Mtaalamu wa matibabu • Mwanandishi wa riwaya • Muuguzi wa magonjwa ya akili • Mwana falsafa • Mtaalamu wa hisabati • Kiongozi 16

UCHAMBUZI WA KIPAJI CHA UHUSIANO 17