JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Translator: Waxan rawa pollista dhad weyna dulka thagan wa inry xishmeyan.

Fatuma Ibrahim: Tena wakifanya kazi kwa mpaka waheshimu hiyo mpaka waangalie mpaka vizuri kwa sababu sisi tunajua

mambo mengi police hawafanyi kazi yao.

Translator: Waxan ognaxay polista in ey shaqathotha ey adh ulayaqan madhama ry meshan xuthuth taxayna waxan rabna in ey

shaqathotha ey sifican ogasobaxan.

Fatuma Ibrahim: Tunataka tuwekewe sheria ambayo police wakifanya kazi yao vibaya tuwastaki hawa sisi wanainchi

tuchukue hatua kwao.

Translator: In sharciga nalogutharo xathi polista an thalilno in an tilabo an kaqathi karno.

Fatuma Ibrahim: Kwa sababu sisi kama sisi ni wanainchi iko mambo mingi tunajua kuhusu hiyo maneno kwasababu ni lazima

tuonge juu yake. Tumekuwa na uchungu mwingi na hatuna mahali ya kwenda kusema. Kama tumepata hii nafasi leo tunataka

kuchunga hii mpaka vizuri police wawe nyuma wakifanya vibaya kidigo kuhusu mpaka tuwe na mahali ya kuwastaki hawa.

Translator: Polista wa in mel laguthaqweyo an xelna.

Fatuma Ibrahim: Mambo ya corruption ni hawa wanaendesha.

Translator: Corruptiona polista aya watha.

Fatuma Ibrahim: Kwa sababu iko wakati mama moja alienda hapa police station juzi. Mtoto yake alipigwa na mtu mzima.

Mtoto kidogo ya miaka sita, alipigwa macho alafu mama alipeleka huyo mtoto police station kulalamika kwa police, police

badala ya kuheshimu huyo mama aliambia iko mtu aliongelesha huyo mama vibaya aliambia wewe mama ebu toka inje wewe

naingia hii office na kisirani ee na mtoto damu natoka kwa macho. Mama anapigiwa kelele amerudi na hiyo mtoto yake bila

kusaidiwa.

Translator: Waxa dacthey qisath oo mama gawar yar lagathaqrey markasna ey polista kentey wey kuqailiyen mamalthina wey

iskaso baxthey wax musacitha ey xesheyna malaxa cunigi oo isha dig kasocthona wey lasotagtey sas tharteth polista diwato

ayey wathan.

Fatuma Ibrahim: Ee tena nitaongea juu ya gender.

Translator: Waxan kaxathlaya xaga gelka.

Fatuma Ibrahim: Mandera, kama sisi ni wa kina mama wa Mandera kwanza dini yetu dini iko kila mtu iko na dini yake na

dini ya Kiislamu inasema kwansa wanawake wasitoke inje, mwanaume aangalie yeye vizuri. Lakini hiyo wanaume hawafuati

hapa wanawake ndio wamekuwa bread winners isipokuwa wachache labda wanaweza familia yao. Tunataka wakina mama

wahusishwe kwa kila kamati kama ni shule kama ni distribution ya chakula kama ni kuandika employment kwa mkutano yeyote

katika office wawe wachukue nafasi ya kwanza.

Translator: Waxanrabna xaga xaweynka in anfas lasiyo xaga Committee yasha mamulka magalathana in qeib lagasiyo ayan

rabna.

Fatuma Ibrahim: Ee kuongea tena juu ya employment, employment unikubalie tu mbili please. Employment nitaongea juu ya

employment, wakati kazi inaandikwa katika hii district tribalism isitumike tribalism imekula akili yetu.

Translator: Oguthambeysti amrki shaqalaxa laqorayo wa in qawileysi laiskadafo.

Fatuma Ibrahim: Mtoto andikwe vile amesoma ako na grade. Qualification.

17