JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Ningependa ya kwamba serikali itilie maanani iwekwe kwa katiba iletwe magari ambayo sinaweza kutumiwa kwa walemavu,

free duty na say motobike ili waokote kwa njia iliyo rahisi iwekwe kwa katiba.

Translator: Waxan rabna gawarithin curuyanka logutalagaley maqabno aniga xata waxan kaxeley melkaley marka waxa rabna

dhowlada Kenya in curiyanta bikibiki ey kusocthan nalokeno on nalailaliyo.

Hussein Bary: Ambayo zinauzwa kwa bei ya Japan ndio mimi nataka.

Translator:

Hussein Bary: Ya mwisho ningependa ya kwamba hii maneno ambayo sasa ilikuwa umenifunga mdomo ningependa mtilie

maanani mchukue picha ya kipande yangu ya kazi sijarudisha mbaka wakati huu unaskia ndugu yangu. Mimi nilikuwa mtumishi

wa umma nilikua dereva mpaka wa sasa serikali haijui pahali niliko hata hawajui kama nimekufa kwahivo ningependa serikali

itilie maanani watu wake ambao wanaumia ovyo ovyo ambao hawapati kitu chochote kulingana na sheria mimi ningepatiwa

mshahara mpaka nifariki, naninge pata haki yangu kwa hivyo ninaona hakuna katiba ambayo inaendelea ee ya mbeleni ilikuwa

hakuna kitu chochote ambayo ilikuwa inatendeka.

Translator: Waxan raba in aniga xaqeiga laisoyo maathama an in tas dhowlada an ushaqeinayeye oo dhadka aniga ilamit eh na

in xaqotha lasiyo ayan rabna.

Hussein Bary: Kwahivyo ninge omba Bwana commissoner msituharakishe kwa vile leo mnasema ni siku ya mwisho kupeana

maoni na ni siku muhimu ukituharakisha sa hii tusipotoa maoni yetu tutatoa wakati gani.na katiba ambayo inapitishwa

Com.Swazuri: Hiyo inatosha mzee, inatosha hiyo kadi yako utampatia Hassan halafu tutawafuatiliya hiyo kesi yako. ni sawa.

Hussein Bary: Nitampata achukue.

Com. Swazuri: ni sawa ,ni sawa.Okey tunasema sawa tumeskia na utampatia details atatuletea tutafuatilia kezi yako, sawa.

Sababu ya kuharakisha kwamba tunaharakisha tunataka kila mtu aliye hapa atoe maoni yake. Haya basi inatosha, haya Abdia

Musa, tuwe na order tafadhali ee. Abdia Musa ,Abdia Musa. Patia microphone kwa Abdia Musa hapo. Yes we are using one

male and female, male and female Abdia Musa hajatoa memorandum haya sawa no she doesnt want to speak. Then

Abdikadel Adam order please Abdikadel order Adam no the register is there oh Hassan has gone with it. Abdikadel Adam

ndiyo huyo haya order order please tusikise tusikise

Abdikadir Adam: Haya sawa sawa asante sana commissioners nawashukuru ile constitution tutahitaji ni ile ambayo inawesa

kucreate bargaining relationship between the citizens and the ruling class, ni ile ambayo inaweza kupata uwezo kwa watu ili

waamue mambo zao. Ile tunahitaji ni ile inaweza kugarantee freedom of speech association and choice. Ni ile katiba ambayo

inaweza kuhakikisha watu wanaweza kutoa maoni yao , wanaweza kuwa na association na wanaweza kuwa na choice ile

ambayo inaweza kurecognize traditional norms ,values and cultural diversities within Kenya. Constitution tunahitaji ni ile

ambayo inaweza kudeal na mambo ya economic mismanagement katika Kenya na ile katiba katiba ya Kenya sharti iwe

supreme kuliko institution zozote katika Kenya. Parliament should not change any part of the constitution of Kenya.

Translator: Waxu yixry waxan rabna in sharciga cusub unoctho sharci an labathalikarin oo qofka kasta aqtiyar sinayo in

nalosameyo ayan rabna.

Abdikatel Adam: The constitution should be surveying parliament should not have powers to change it kama ni kubadilisha

katiba sharti iwe na referendum ya wananchi na wale ambao watasimamia hiyo memorandum ni special commission ambaye

9