JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Ishmael Ahmed: Translator: Garikorome ni wale wenyeji sana sana hasa ambaye walikuwa wanakaa Mandera town hii.

Ishmael Ahmed: Waxan kusacicney memorandum Kenya ana kutharsaney NFD anaga oo Chief kaxeh magalathan

waqtigas.

Translator: Moja yapo kama alikuwa one of the presentive environment representing area hii katika Lancaster house baba

yake alikuwa chief.

Ishmael Ahamed: Waxan naxay dhad Gara ah lakin Gara iskudaxjiro oo thago beraxan ila simankan biyabon ayan

iskalenaxay.

Translator: Anasema ni gani tribe lakini tunaitwa garimaro ambayo tunakaa along the river banks ni farmers sawa sawa.

Ishmael Ahmed: Waxa naxay dhad kisto dhadka kaley ey yasan.

Translator: Na katika society inaonekana sisi tunadharauliwa tunaangaliwa chini kama low minority kama ni low sex.

Ishmael Ahmed: Arintas xathi thib loraco waqtiga ukoloniga ila xata chiefaf anaga aya soaxani jirney ila systemka Moi.

Translator: Na sana, sana ukiangalia zamani sisi ndio tulikuwa chief tulikuwa leaders ya area hii mpaka wakati ya Daniel arap

moi.

Ishmael Ahmed: Xata waxa dacthey in awothi Adminisrationka gacanta ugashey aya nakalafarfardisey oo political uthilacey

oo dhadkeni umelwalba ukalagoay oo manta xal reprsentative an lenaxay.

Translator: Inaonekana kwamba sisi tume watu wengine imeingia boundary administration imeingia power imetoka mikononi

yetu matribes zingine imeingia na sasa sisi inaonekana tumetupwa mbali mbali.

Ishmael Ahmed: Dhad keni wuxu nocthey dhad masakin ah oo representative an laxein.

Ishmael Ahmed Tunataka tutambuliwe na records ya colonial ifuatwe hii community ijulikane kama mwenyeji ya indeginous

ya Mandera na wapate kuwa represented na wapatie minority tribes protection ambayo wakati hii imeingia katika mkono ya

foreigners.

Translator: Wuxu daxay marka anaga in xaqena nalasiyo oo nalaogatho.

Translator: Na ningependa kuongea juu ya body Government. Nasema serikali tunaitaka ni serikali ambayo inaweza tumikia

wanainchi wa Kenya mahali pote wako na nadhamu hiyo kuweza kupatikanwa ni kuweza kupatia ofisi wa sheria independence

bila kuingiliwa na mtu yeyote na power yeyote kutoka rais ama pande yote. Ya pili ningependa kusema police ndio wenye

wachunga sheria ya hiyo inchi na wanachukua mshahara chini sana kama hatutaangalia masilaha yao corruption katika inchi hii

haitamalizika na ningependa katika mkoa hii ya Kazkasini Mashariki hakuna mission school hata moja kwa hivyo serikali

tunaweza kushare nation cake together tuwe tunapata mission school moja katika hii hii North Easten province. Ya mwisho

tunaweza kusukuma mafuta kutoka Mombasa mbaka Eldoret na watu wetu wanakufa na (inaudible)------- maji kwa hivyo

hiyo inaonekana kidogo tumelaliwa zaidi kwahivyo maji iwezwe sukumwa mbaka hapa watu wasipigane na nyani.

Com.Swazuri: Haya, asante sana swali umeshindwa kujibu muko wangapi kabila yenu hiyo kabila yenu unasema lakicha hiyo

kabila yenu mko wangapi hapa Kenya?

Ishamel Ahmed: Tuko nafikiri hapa labda kama watu elfu tatu hivi

Com. Swazuri: Elfu tatu?

Ishmael Ahmed: Hakuna hata chief moja

79