15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Translator: Anasema sisi ni wafugaji na watu ambao wanahamahama na kwa vile mumesikia taabu nyingi kuhusu mambo ya

elimu inaletana na hiyo, mambo ya ufugaji na kuhamahama. Tunataka sheria itambue hiyo na itupatie fursa ya watoto wetu

ambaye iko katika reserve wanakaa na mali katika porini njia wanaweza kupata elimu ili shule yao siyo hii ya kujengwa inakaa

mahali moja. Manyata ikihama shule pia inahama na hawa kwa sababu hiyo ni maisha yao na wana haki ya kupata elimu.

Adani Roba: Waxan unoqonaya mathax weynaxa xathan noqono dhowlad gowoleith waxan qabna Prime Minister, mathax

weynaxa in shan sana usan noqonin lakini thorashathisa ey nocoto lixsana itan anaga thorasha kujirno in mathax

weynaxa unasiilaliyo, wadhankana in umasul kanoctho.

Translator: Tunataka uchagusi ya president iwe kando na uchagusi sile zingine na wakati wengine wanakuwa katika uchagusi

president anashikilia mamlaka ya serikali na muda yake isiwe miaka tano mbali iwe miaka sita ili wakati tunaingia katika hii

mambo ya uchagusi hakuna gap yaani kuna serikali ambaye ina endelea na wakati hiyo president anashikilia.

Adani Roba: Mitha kaley Dhaka bathi wexey daxn mutatha mathax weynaxa lawa gor kali xanoqoto lakin aniga waxan rawa

waxadici karna in an marthax weyna fican an lasobaxno mathama mathax weynaxan an thorasha kuritheyno xathii umathax

weyna fican unoctho sathax yer in an thorano maxa nagarewaya. Marka waxan rawa fursath in an ulaxano in mathax weyna an

markasta in an thoran karno xathu xumatho iyo xathu ficnatho.

Translator: Anasema hii maneno ya kusema president ichaguliwe tu mara mbili kwa sababu kama tunaweza kuangusha chair

ya rais kwa uchaguzi si afadhali tuwe tuna fursa ya kuangusha yeye kama akiwa mbaya lakini akiwa mtu mzuri si hata iwe nafasi

ya kuendelea mara tatu hata.

Adani Roba: Waxa xata sharciga Kenya kuqoran in mathax weynaxa 25% in ukaxela shan gowol tasna wa arin muxum ah

anaga dhad yar an naxay mathax weynaxa nomaimano. Marka waxan sharciga asaga ex in u noctho Constitution.

Translator: Hii mambo ya twenty five percent katika mkoa tano ambaye ni sharti ya kuchagua rais kwetu hasa nasema ni

muhimu. Sisi kama region tuko watu wachache na tusipo pata sheria kama hizi ambaye inaweza kufanya sisi muhimu katika

uchagusi tunaweza kuachwa nyuma. Kwa hivyo hiyo ni muhimu mtu yeyote anataka kuchaguliwa president sharti ipate twenty

five percent za furaha katika mkoa tano.

Adani Roba: Okey nikimaliza mwisho awa na prisons jela ukiona jela sana sana. (Somali dialect) Waxa wayey ti Ingiriska

ukatagey Ingiris kabacthi jel wax lagutharey malaxa marka jela. Marka jelasha waxath umaleysa in inqab logutalagaley marka

jelasha wa in isbathal lausaneyo oo wax kasta lagabathalo. Surwalka gawan na in raga lagabatalo. Khadiga waxan rabna in

advocate in ulaxatho, Lawyers, Islamic lawyers tunataka katika Kadhis Court ifanywe na pia mambo ya traditions ya hati

kuweka ndefu ati chief lazima anyoe ndefu sioni sio kitu muhimu sana hiyo chief usikuwe na wasiwasi, tupewe region

Government tutakubali hiyo. Asanteni sana.

Translator: Kwa hivyo anasema hii mambo za jela za nasema ni jela ambazo siliachwa na wakoloni na wakoloni madhumuni

yake ilikuwa ni punishment na katika Kenya fikira zetu sasa ni rehabilitation yaani kubadilisha mtu kitabia sio kuumiza mtu katika

jela na sile jela ziko sasa ni ya ku adhibisha na kutaabisha mtu. Nataka hizo vifaa za majela vipanuliwe viwe safi ni mahali mtu

anaweza kuishi akiwa akibadilishwa tabia zake hata nguo za mavasi sio kuna wanawake pekee hata mwanaume. Kwa nini

wanaambiwa wavae short siwanaweza kupata suruali mrefu basi?. Mambo ya ndefu hata ikimea hiyo hakuna shida.

56

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!