15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

ammend ya sheria itakaa bila? So tunaomba kama wanainchi wanataka amendment fulani katika class fulani ama section fulani

ya sheria tunaweza pitisha memorundum yetu ama malalamishi yetu katika CKRC office district co-ordinator. So tunaomba

sheria ya Kadhi itengwe yaani kuestablish that office ya CKRC katika district permanently. So I think ile ingine ni moja ya

defection ile party tunaomba kuna wakati election ya parties, kama KANU election inakuja, members ya Ford Kenya what do

you call it Ford Asili all those things and and people are trying to involve in that election. ikikuja ile ya Ford Kenya pia kuna ile

watu wa kanu tena wanapiga kura. So we are really there is no boundary between who is in which political party and which so

we wanted vegetation ya political party iundwe katika inchi ili ile mtu akitaka kudefect ni may be kuna outlined ama terms of a

you know conditions and penalties maybe ingepatiwa mtu kama hiyo so may be that is the last part of it. Thank you very much.

Com.swazuri: Tutaenda kwa Alio Hassan Guracha ndio huyo hapo haya mpatie.

Alio Hassan Guracha:(Somali dialect) Bismilahi Rahmani Rahim. Magaceiga waxa laidaxa Alio Hassan Guracha,Imamki

Mandera marka xalaiturjuwo.

Translator: Okay anaitwa Alio Hassan Guracha na ye mtu ya Bulejonori kwa hivyo tunaendelea.

Ali Hassan Guracha: Anaga sitha adh garaneynes Kenya lawa qoloth oo kala din ah aya kunol islamka iyo galatha lawa dhad

aya kunol.

Translator: Vile mnajuavyo Kenya tuko na watu wa aina mbili kuna Christians sana sana na kuna watu ambaye ni Waislamu.

Ali Hassan Guracha: Mit kastawa in ey xuquqthetha ey xeshso ayan dhoneyna oo qofkasatawa waxan rabna in u

xaququthisa uxelo ayan rabna.

Translator: Kwa hivyo tunaomba kila society kila dini kila mtu apate haki yake ya kidini.

Ali Hassan Guracha:Anaga rer North Eastern intey Kenya uhuru ey xeshey ila xata afartan sana aya lagajoga ila xata waxath

arkeisa gowolatha kaley iney xormaren ey nagafican yixin lakin anaga adh ayan uxoseyna.

Translator: Vile unaona sasa sisi Kenya ni karibu eight provinces na ukiangalia sana sana sisi North Eastern province na

province zingine ukiangalia tuko nyuma zaidi kimaendeleo.

Ali Hassan Guracha: Waxan uthalil eh iney dhowlada ey nagasexatey oo xuquqthanatha …..(inaudible) ayan dhowlada

ujethineyna.

Translator: Na hiyo tuna maana tuna suspect hiyo inatokana na udhaifu kwa pande ya serikali

Ali Hassan Guracha:Tan kalana xata waxan kacawaneyna faqir nimatha iyo dibka marka waxas odan gajathan iyo rafathkan

waxa usabab eh dhowlada.

Translator: Kwa hivo naona sasa iko watu area yetu iko poverty imeenda juu sana na hiyo yote shida imeletwa na serikali.

Ali Hassan Guracha: Ila Nairobi iyo meshan wath ogtixin jit malaxa, qofmanta bawur xelo lawa wig kathib ukoqasari,

wathatha markasta xathu rob daco ninki baburkisa wukaqasari oo saga oo shaley wax xaisey adh xathan ari aso waxba

xaisanin tas odana waxa usabab eh dhowlada.

Translator: Umeona sasa sisi tukianza hii kazi ya biashara inaona msukasuko ya barabara mbaya mtu leo leo akinunua gari

anaanza kwenda trip machache tu na rudi hapa gari naanza kuisha na onaona mtu muda kidogo alikuwa tajiri kwa mda kidogo

pia hiyo mali imekwisha shauri ya maintainance poor roads gari imevunjika pia ameanza kuwa maskini.

Ali Hassan Guracha:Xata roka jiro wath garaneysin wathankanatha dibka naxayo tasna waxan udalilineyna iney dhowlada

87

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!