15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mohamed Khalif: Ingine ni mambo ya grazing rights (inaudible)--- point na salt link kuna mahali muhimu sisi tunachukuwa salt

(sijui kiswahili) chumvi ya ngombe na mbuzi ngamia kwa mto kuna mahali mfungaji anaweza lete ngombe yake akunywe maji.

Tunataka hizo points zote ziwe protected iwe gazeted ya kwamba kuna mahali fulani watu wanawesa kunywa maji, kuna mahali

fulani watu wanaweza kaa, wanaweza chukua chumvi.

Translator: Waxa jitra mesha biyaxa lagacabo wowiga iyo melaxa caratha lagaqato walaiskaota xolixina mel ey biya

kacabayan malaxa. Tas waxan rawa in sharciga ilalinayo in an xelno.

Mohamed Khalif: Ile ingine ni mambo ya grazing areas. Zamani tulikuwa na wakati ya mvua kuna sehemu zingine watu

hawakubaliwi wachunge mali zao na kuna wakati ya ukame sasa hiyo season imeharibika na ardhi imekwisha. All areas there is

a lot of overgrazing so lazima tuwe na sheria ambayo inapanga vile wafugaji wachunge wanyama zao.

Translator: Waxan rabana anaga xola daqatatha mela wan qabney laguthajio xolaxa marki jilalka waxan rabna in an sharci

uxelno oo mela goni oo waxtiga jilalka iyo robka mela lathaqo in an xelno yan rabna.

Mohamed Khalif: Ya Kadhi naunga mkono Sheikh Ibrahim. Mambo ya local authority pia naunga mkono ndungu zangu

waliongea na naongeza kidogo tunataka election ya chairman wafanywe na wanainchi. Alafu tuwe na qualifications ambayo

tunawezesha ni nani anaweza kuwa councilor na nani anaweza kuwa chairman. Lazima councilor awe na basic education.

Com.Swazuri: Kama gani

Mohamed Khalif: Form four standard eight..

Translator: Waxan rawa xaga Councillor yasha marki lathoranayo wa in ey taclin laxathan ama form four ama eight ey

axathan. Tan kaley Chairmanka County Council wa in ey thath weynaxa ey sothortan.

Mohamed Halif: Presidential powers za rais hatutaki kusikia fulani iko juu ya sheria. Hakuna binadamu anaweza kuwa juu ya

sheria. Tunataka presidential powers iwe redused na kama anafanya makosa anawesa stakiwa. Kama ni Mbunge……..

Translator: Waxa kaley on rabna sitha xata noqoron in mathax weynaxa sharciga wukaweynaxay macnaxa lamathacweyni

karo waxan rabna ninkasta in u sharciga kaxoseyo oo lathacweyni karo ayan rabna.

Mohamed Halif: Majimbo system naunga mkono pia. Massacres ya malkamari wagalla na iko katika grade ni vile

(inaudible) alisema tunataka compensation iwekwe kwa katiba ndio mtu anaweza kupeleka serikali kotini awe compensated.

Translator: Wixi dib o lasomarey ti Wagala,Malkamarey iyo wixi lamit ax wain sharciga lagaliyo in magdaw an warsani karno.

Mohamed Halif: Creation of constituencies should not depend on the population but should depend on the sizes of the area

geographical areas features.

Translator: Marki xuthuth yatha lasameyno wain ey kuxirnanin cathatha dhadka lakin ey balarka dulka ey kuxirnato.

Mohamed Halif: Tunataka serikali aweke kwa katiba ile mda tulipotesa wakati ya ukoloni kwa sababu aliweka sisi kando na

Kenya zingine na baada ya hiyo mambo ya shifta. Tunataka budget ya serikali iwekwe special fund ten percent of the budget

tupatiwe wale ambao waliwachwa nyuma ndio tuweke tuwe nauweso ya kufika wale wengine. Asanteni.

Translator: Oguthabeysi anaga waqtigi ukolonitha gathal ayan udacney marki an kabaxneyna Uhuru laxelna emergence aya

nagudacthey waxan rabna thacliga dhowlada boqolkiwa towon sifa an usukacno oo kenyatha kaley an lasinano.

Speaker: Halif Mohamed Shar

19

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!