15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

isiolo kuna barriers zaidi ya hamsini ifungwe hapa ifungwe hapa unaulizwa kila (inaudible) ------------ hata shida ambaye ile

wewe hauna unawekewa juu na kupita isiolo kupita Nairobi katikati hakuna labda upate barrier ya police usiku hiyo hakuna

shida lakini hii ingine ya hii mambo ya kusumbuliwa watu nasema barrier hakuna maana hakuna maana ni ajabu sana. Nataka

kuongeza kitu kimoja ingine. Waheshimiwa hapa watoto wakisoma wakisha maliza shule hakuna kazi wanapata, hata yule

amefaulu na yule ajafaulu kama hawa watoto ambaye amemaliza secondaries hawapati kazi watakuwa nini watakuwa shifta?

uhalifu natokea hapo wanaenda inchi ingine wanakuja (inaudible)-------------------------------kila wakati

(inaudible)----------- wanazunguka mahali ingine. Kwa hivyo wale watoto ambaye wamemaliza shule wapatiwe kazi fulani hata

ingawa National Youth Service naona National Youth Service amesaidia watu wengi sana area hii wale watu wanafanya kazi

ten percent ni wale watu wamepitia katika National Youth Service maneno yangu nisha malisa asante sana.

Com. Swazuri: Mohamed Mahamud Mahalim hayuko? Mohamed Ali Isaack, Abdi Osman?

Abdi Osman: Hapana hapana sauti yangu inatosha. Okay mara kwanza nasalamia ninyi sababu tangu subui niko hapo bado

ongea bado pata nafasi lakini ni Mungu napelekea mimi na narudisha shukrani kwa wanainchi wageni yetu ni asante sana

kupewa hii nafasi asalam aleikhum. Basi kidogo mimi nikisema ni jina yangu ni Abdi Osman na mimi ni mzee ya peace and

development chairman, hapana vice chirman.

Lakini kwa wakati huu ni chairman, chairman yangu iko inje kwa hivyo nawakilisha yeye sababu mwenyekiti iko safari na kitu

ya kwanza watu walipiga kidogo kidogo ugali na mahindi pamoja kwa hizo hali ya leo naangalia hapo lakini ni sawa kila mtu

aliongea kiwango yeye ambayo naelewa ni namna iko ni hii. Namna iko kwanza ni kitu moja zaidi wanainchi na pia hasaidii

serikali kitu naitwa chuki ni mimi binafsi nilifanya my service year yangu ya kazi ya serikali thirty three year nilifanya kazi ya

serikali na ambayo unaelewa kama haina tube naweka kazi hiyo ya serikali na niliwacha nikiwa warrant officer ya serikali

ambayo nandaika ni kitu gani naendelea kwa serikali ya Kenya.

Lakini kisimama hapa sitaki kuingilia sana serikali lazima nikule mfupa moja niache moja na ikiwa namna hiyo lazima niseme

kitu nahusu sisi wanainchi wa North Eastern or wananchi wa Kenya kitu alihudhi sisi roho. Na kitu moja mi nasema ni namna

nyi nakuja ni asante sana karibuni ni kwa inchi yenu ambayo hata kama tunakaa hapa sisi Wasomali na ninyi yote ni wananchi

wa Kenya na sisi pia ni wananchi karibuni ni kwa inchi yenu tu. Basi sasa kitu mimi nasema ni hii ni kama watu walisema kidogo

kidogo hapa ni iko msumbuko ni hapa Mandera uki angalia njia moja naweza kusaidia wananchi hata kwa mtu namaliza shule

hata kwa kiwete hata kwa kipovu sababu ni mpaka zaidi mpaka analete pesa sana.

Serikali akitengeneza hapa air strip unaona ndege hata 707 inaland hapa lakini serikali inajifanya kipovu shauri hataki wanainchi

ya North Eastern na wajui kama hawa wenyewe najiharibu sababu asitoshe ndege hawesi enda Nairobi. Nachukua hapa kombi

wanahama nyama frish hata Warabu kila kitu. Wakichukua nyama hapa sababu Somali hawana shamba pia iko na shamba ya

kujisaidia ni wakupe mali yao sisi pia na Ethiopia na kweli kwa Kenya iko mpaka kama hiyo bila hata Mandera na kwanini

serikali nafunika macho serikali afungue macho aangalie hiyo tunaomba government yetu. (Inaudible)------------- hiyo ingine ile

mimi nitafuatisha ni ukitembea ni population ya kama Turkana na hapa sisi wasomali sisi ndio mara kumi mingi kwa nini

barabara kutoka Nairobi mbaka lodwar ni lami hapa kwetu hatuna kwa nini serikali najifanya kipofu na ambao na kama hataki

sisi apee sisi permit ya kuhama inchi ingine na pia aonyeshe sisi mahali ya kuhama kama ataona ngoja tafadhali ugonjwa itabaki

kwa macho hapana angalia.

81

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!