15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

hana mkono uso moja hakuna anaye zaliwa na ile mahali hiyo kitu imewekwa hata nyasi ilikuwa samani inatoka hakuna

kwahivyo kuna toxic gass kwa hivyo tunataka Office of the President and Minister for Energy to compansate for those damage

ambayo wamecause. Ile mambo ya Masakas ya Wagala Malgamari naungana na wale waliongea mbele yangu tunataka

compensation.

Mimi nikiwa hapa mkoa hii mimi ndio senior vice chairman KFF branch kuhusu kitu ingine Kenya imetudhulumu yaani the

smallest thing kama sports mtu anakimbia mguu yake ndio inaletea kitu mpira mtu nacheza mguu yake ndio naletea kitu Kenya

imetufinya imefika kiwango ya kutufanya we don’t have even one permanent stadium in North Eastern province. Na utakuta

Onyango Wafula hata siku hizi iko Karanja anacheza mpira why not Abdi Mohamed Suleiman international sport, Harambe

stars.

Hii yote ni njia ya kufinya sisi chini kwa hivyo Ministry of Sports pia imetuneglect kwa hivyo hiyo huduma ambaye imekuwa

facilities kama (inaudible)---- imefanyiwa down Kenya tufanyiwe mpaka hapa. Okay nataka local authorities iwe impowered

vile walisema asubuhi tunataka hii kadhi akiamua kesi mbaya tunataka at a national level kama tuko na Kenya Court of Appeal

tuwe na Kadhis Court of Appeal huko Nairobi ambayo inauwezo sawa na ile Kenya Court of Appeal. Na mambo ingine hii

mambo ya polling station, mimi kwa maoni yangu tuseme kama Mandera DD ni polling station, moja hapa nataka kama

wanainchi wakipiga kura asubuhi jioni ikifika hiiyo saa kumi na mbili ikifungwa hiyo masanduku sisisafirishwe. To avoid

corruption hizo kura zihesabiwe hapo hapo kwenye each polling station to avoid riging hiyo ni maoni. Yangu. tafadhali ngoja

mimi nasema qualification MP to be from form four and above qualification ya kwanza Kenya tumesumbuliwa kielimu zamani

tulianza na Cambridge tulifuatanisha E A C E tena sijui G G E sasa K C S E 8-4-4 system kwa hivo a councilor wa stardndard

seven up to form four graduate hawezi kucontest. Hiyo ni maoni yangu na jambo ingine North Eastern should have equal

constituency ambaye Central province iko nayo kama Central province tatu constituency sisi North Eastern tupewe tatu

because we are twenty five this province is biger than Central Province jambo ya mwisho ambayo siyo ya mwisho kabisa mimi

naomba hii wabunge wamejitetea kama (inaudible)-------------- na wenzake wengine wako elwak na huko tatara salary yao

wameongesa three hundred sijui something percent wanachukua pamoja na allowance sijui wanagonga million moja na kitu kwa

mwezi why not (inaudible)------- ambaye huwa always next to your people mama mtoto wake akigonga mwingine anakimbia

kuomba msaada police anataka shauri ile (inaudible)--------- wanataka kitu kidogo tunasumbuliwa kila wakati kwa hivyo

tunataka mshahara ya madiwani pia watolewe kwa consolidated fund.kwa hayo machache nasema asante.

Com.Swazuri: Asante sana Bwana Suleiman kwa hayo mengi sana Birie N Hassan, Abdi Boru Guyo, Abdi Osman S

amesema concillor Abdi Abdilahi Noor hayuko? Bishar abdilahi.

Bishar Abdilahi: Mimi pia ningetaka kutoa maoni mi naitwa Bishar M Abdilahi. Ya kwanza sisi katika inchi huu ya Kenya

tuko na uhuru ya kuabudu na vile mwingine alisema we are not allowed fully to practise so we want a full profession that first of

all the muslim to practise its religion to hundred percent kwa sababu nikiwa nasema hivo tuna Islamic sheria ambayo inaitwa

inatuamuru. So mtu yeyote ambaye anavunja sheria ya Islamu kuna forbidden act katika sheria sisi tunataka kuchunga hiyo

sheria zaidi kuliko macho yetu.

So ya kwanza ni ku tunarecommend Islamic Sheria Court iundwe katika constituency ya Kenya which shall be maintained by

professionally learned Muslim scholars ambaye may be ni Kadhi na mpaka Chief Kadhi which has the same powers like the

85

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!