15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Com: Swazuri: Ile njia ya tatu ya mwisho ya mtu anayetaka kutoa maoni kwa Constitution dakika tano na hata yeye tuna

penda atuelesee mapendekeso proposals anataka tufanye nini tuondoe matatizo yetu hatutaki mtu hapa aje atueleze historia.

Translator: Tariq umabaxnin thathki kaley noci uthambeyey waxa waye thathka an qoralka laimanin oo thonayo in ey afka kali

kaxathlan, shan thaqiqa aya loogol yaxay qofki lamarawo in tariq iyo wixi lasodafey in adh daxgashig. Waxa labaxanyaxay wixi

maonigatha adh umaleyneyso in diwatoyin logabaxayo ama sharci usub adh karabthi kali umbath shegeysa tariq iyo waxas kaley

xashegin shan thaqiqath kali bath xaisata.

Com: Swazuri: Okay sasa tutaenda kulingana na Isamel. Okey tutaenda kulingana na vile watu wamejiandikisha kwahivyo

tutachukua mwanamume moja halafu mwanamke moja alternate namna hiyo mwanamume mwanamke mwanamume namna hiyo

.Translator. Maoni qathasha ayan watha galeyna sithi adh magacyathina adh uqorten ban uracitona sas aya laiskuguxigi thona

nin rag xathi loyero tubilcan aya laguxigini sas ayan kusoconithona e ogatha ayuyiri.

Com: Swazuri: Wakati wa kutoa maoni unaruhusiwa kuzungumza kwa lugha yoyote unayopenda Kiswahili, Kingeresa,

Kisomali, Kiborana, whichever.

Transator: Maoniga markatha labexeyso af ala afki kufuthuth oth umaleyneyso in adh warkatha adh kujetsan karto af Somali,

af Boran, af Swahil kath rabthithi ayath kuxathli.

Com: Swazuri: Dakika tano.

Transator: Shan thaqiqa kalix ayath xaisata Sheikh Ibrahim.

Mohammed: (Somali dialect) Bismilahi Rahmani Rahim. Marka uxoreyso Kenya qawila kala din aya kudaqan okala xatha

ax sas tharteyna wa in u tharsurka wa in uxatha mit kubalan qathayo mit walbi dinti iyo daqan ketha in lailayo in uaxatho.

Translator: Katika Kenya wanaishi watu ambao ni mila tofauti dini tofauti constitution tunayotaka ni ile inahakikisha uhuru ya

kuabudu kila mtu dini yake

Mohammed: Daqan lawath sas athey taxay waxalobaxan ayxay thardurki mit canah iyo mit Khadi ax qola walbo thintetha iyo

daqanketha ilalinayo in lokalasaro.

Translator: Kwahivyo ninapendekeza constitution itolewe mara mbili moja ya Kenya yote na moja inahusu kiundu fulani ama

watu wa dini fulani kwa hivyo napendekeza constitution iwe mara mbili constitution ya kusimamia watu wote katika Kenya na

moja ambayo inasimamia dini ama interest group.

Mohammed: Qothabka sathaxad anaga daqan kena iyo dintena wey bey aqlaqtha sithi qamriga lacabayo, sithi dilatha okaley

sitha tharteth wa in laxela tharsthur oo arimaxa xor istagayo oo maxkamath lagugeini oo lagu ecawi karo ayan dhoneyna.

Translator: Dini ya Kislamu ina lia sana kitu ambacho inaleta tabia mbaya katika jami kama usharati kama ukulaji kunywa

pombe na mambo kadhalika kwa hivyo tupate sheria ama katiba ambayo inaweza kufanya jamii iyepuke na maovu kama hizo

na mtu anawesa kupelekwe mahakama kwa kufanya tabia mbaya kama hizo.

Mohammed: Qothabka afarath, anaga nagaxena daqacan kaina iyo dintena walith kotha iyo ninka qawo ayakamasul ax xaq

bey uleyixin wixi xun in ey kaxoristagan ey nakuthacweyni karan sithi zinatha iyo qamriga lacabo okaley lagumafaragalin karo.

Translator: Sisi katika dini ya Kislamu wanaume ama relatives ndio wana jukumu ya kuangalia tabia za bibi zao na watoto

wao. Kwahivyo lazima tupate fursa ama katiba ambayo inaweza kutuwezesha kama wanatenda maovu tunauwezo ya

kuadhibisha tuna uwezo ya kupeleka mahakama na tuna uwezo ya kurekebisha hizo tabia.

4

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!