JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
ulexein.

Translator: Tulikuwa kundi mbili kuna wale watu ambaye wako na haki kuishi katika mji hii na kuna wale ambao inainekana

hawana haki hata kidogo.

Hussein Ahmed: Mandera daxthehta dhad aya gatey oo ddhad lacag leh ba watha gatey dhadka masakintana waxba ey

kulexein.

Translator: Na inaonekana hapa ya kwamba Mandera tukiendelea inaonekana inakuwa ingekuwa mahali ya wale watu wako

na mali tu, Mtu tajiri ndio ako na haki na wale maskini hawana haki hata kidogo.

Hussein Ahmed: Magalathehta afartehta kona ninki lacag leh umba iskale.mita lawath magalathan. Sharciga waxa wayey

dhadkan masullinta eh o mathax iskadigo in sharciga lagaqatho oo dhad masakin eh lasiyo.

Translator: Kwa hivo nasema hiyo mtindo ibadilishwe kisha iwekwe katiba mtu ambaye ni tajiri na mtu maskini iwe haki

moja haki sawa.

Hussein Ahmed: Mitha lawath xawen lawa saq wixi kabilawtho lamadax mari karo waxa kuqawani polis ila xer waxan

garney in an musajitlaya an kagocno polis laaligot.

Translator: Usiku pia uhuru ya kutembea usiku imekuwa taabu tukitoka inje hata kwenda kusali ----- ambaye inasali saa

mbili ya usiku tunaweza ogopa kwasababu police anasimama kila mahali na inashika watu lete kipande lete hii kwa sababu iko

taabu kama hiyo.

Hussein Ahmed: Polista sharci an kuaconsano malaxa nambar maqawan, in ey laxathan nambar.

Translator: Basi lazima pia sasa nawezekana mtu pengine hata mjambazi anawe kufaa uniform ajiite police kwa hivo

tunataka police aweke namba badge na jina yake hapo.

Hussein Ahmed : Sharciga xorta Mandera guthexetha wanalagumeysta, wanalagumeysta.

Translator: Kwa hivyo ya mwisho anasema la fumbo hii kunyanyaza nyanyazaji hii hatutaki amemaliza hivyo asante

Com.Swazuri: Kuna K. N Shali apana huyu si huyu mwingine wamesema ni wawili K N Sheik moja ameongea bado huyu.

Kulo Mohamed Sheik: Mimi naitwa kulo Mohamed Sheikh yaani kwa ufupi ndio naitwa K N Sheik maoni yangu ni kama

ifuatayo. Ya kwansa kabisa nataka to retain the unitary system of government ambayo tuko nayo sasa ambayo ni serikali ya

watu yote nataka pia to retain the Provincial Administration sababu ukiangalia hapa mipaka majirani zetu unakuta mahali hakuna

Provincial Administration iko shida nyingi sana.

Halafu hii madaraka nyingi tumepea the president we want the trimming of presidential power alafu ya inne tunataka hii

presidential office tena muda ya rais kuka kwa office iwe miaka moja pekee yake, ili itupatie nataka iwe one year hiyo ni maoni

yangu tafadhali niheshimuni kuna Wakenya wengi wana ambitions ya kuwa rais kwa hivyo kila muaka tupate moja mpya.

Mambo ya political division nataka iwe treated as an election offence mtu anatoka kwa chama yake alafu anaingia upande ile

ingine nanyanganya wengine nafasi yao so tunataka watu wale ambao wanadefect kiovyo ovyo wapelekwe kotini.

Alafu (inaudible) ------------ kama hii (inaudible) -------- ya baringo kama kona (inaudible) -------- wapewe nomination ya

MPS kutoka tukiconsider their minorities sababu kwa uchaguzi tuna hakika tutushinda. Hawa alafu iko hii mambo ya

kitambulisho ambayo wengi wameongea juu yake mambo ya screening card lakini ile mambo ningependa kuongea juu yake ni

hii ya importing committee iko committee ingine naitwa vetting committee nataka itupiliwe mbali kabisa. Alafu mambo ya none

77