15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

wafanye wahusike na kazi ya Jua Kali na serikali isaidie ili vijana waweze kujizaidia bila badala ya kungojea kazi kutoka mkono

ya serikali pekee, na kwa kufanya hivyo, mimi ni maoni yangu ya kwamba watu wengi wataweza kujizaidia na wasaidie wengine

wenzao. Mimi naomba serikali yetu tukufu katika katiba hii mpya waelimishe watu wawe watu ambaye hawajasoma kwa vile ile

kitu inatusumbua sana hapa hata vile unaona leo hapo tulikuwa tunazunguma mambo nyingi sana na ile mambo tunazungumza

hapa tunasema tunafanya constitution review na constitution review kulingana na vile mimi nafahamu, constitution ni ile sheria

ama kitu ambaye tumetunga hii na kuweka ili tuongoze na wanainchi.

Lakini tunazungumza mambo ya human rights, watu wengi wanacomplain juu ya haki ambaye siyo kitu ambaye imekuja kutoka

naomba katika katiba yetu mpya iangalie kardhi na wakaaji wa Kaskazini Mashariki kwa makini ili watu wasisime tena

tumesahauliwa ama tumewachwa nyuma na Kenya zingine. Asante.

Com.Swazuri: Adan Galie hayuko? Ibrahim Mohamed Abdi KANU youth winger hayuko? Sangas Ahmed Lakicha

amezungumza, okay Suleiman Halif Osman, Adam Abdile mzee haya.

Halif Osman Adan: Ninaongea kidogo tu si wengi na ninaongea kitu wawili pekee yake siyo mingi. Jina ninaitwa Osman

Adan. Wanainchi wanaongea mingi sana upande ya kila mahali lakini iko kitu kidogo ambaye amesahau lakini yangu ni upande

ya watumishi wa serikali katika North Eastern ile taabu ambayo tuko nayo. Hii watu wako na shida kubwa sana. Kitu ya

kwanza ni kuwa inatoka kazi inatafuta haki wanahangaika sana katika ofisi kuu ya Nairobi ikiwa napata jeraha iko gari ilifunika

au napata jeraha ya risasi wanapata taabu kubwa sana. Hakuna mtu yote ambaye naangalia shida ya hawa au anashughulika

naye shida yao. Mtu yeyote au gari yeyote ambaye wanafanya kazi katika North Eastern province wako na shida kubwa sana,

ambaye kuangalia yao ni ngumu mtu navunjika napeleka gari napelekwa hospitali imetupa watu wanaenda naenda zao

wanawacha huyu mtu, hakuna pesa, hakuna jamaa ambayo wanawachiwa hapo, inawacha kama iko hospitali sasa huyu mtu

wako na shida kama hii.

Wale watumishi wa serikali katika North Eastern. Hasaa wale wanataka kazi kupata haki ni ngumu. Unaona mtu miezi sita

nakaa kwa ofisi.

Okay ya pili tafanya mfupi saa nakwisha ardhi yetu hasa upande ya Western wako na taabu ya energy watu maji hakuna

(inaudible)--------, hakuna dam ambayo inachimbwa. Watu wako kutoka hapa mahali naitwa Rapito mbaka Sirkafa, iki kosa

kunyesha mvua wako na matatizo sana ya hii maji kubwa sana. kwa hivyo saa nakwisha nitafanya mfupi. Good bye good night.

Com.Swazuri: Na hapa town hakuna shida ya maji hapa Mandera iko? Mbona hamusemi mnasema Takaba tu na hapa

mnanyamaza? Okay Yusuf Adam alizungumza huyo? Lakicha alizungumza? Okay moha. Wengine bado Bwana Mohamed

Madei Ibrahim. Haya tunaenda kwa nafikiri huyu pia alizungumza Adan Abdi Isaack, Abdurahim M Hassan ndiyo huyo hapo

ee mna mkatia na yeye mwenyewe yuko? haya.

Abdurahim M Hassan: I am called Abdurahim I will be short and brief to the point naitwa Abdurahim M Hassan nafanya na

Idara ya Judiciary, So ningependa kutoa maoni yangu ifuatayo: First that Kenya should retain the military system as we are

currently we should retain that. Secondly and the executive. The president should be declared the winner on gaining sixty one

percent majority votes percent. Secondly on the president appointment to commission offices that is parastatal heads and all this

high appointment, application should be advertised, jobs should be advertised then application received by members of

parliament (inaudible)------ and the president.

92

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!