JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Mr Hassan: Serikali ya wilaya ikuwe independent kutoka Central Government.

Translator: Dhowlatha xosey wan iney awoth yeshan ey mathax bananathan.

Mr Hassan: Tunataka serikali ile ya kupatia watu masomo, maji, hospitali, afya na chakula na kila kitu siyo ya kienyeji ya

saa hii.

Translator: Dhowlada an anaga rabno wa mit cilmi, biya, cunto iyo wax yalaxakaley dhowlad nasini karto ayan rabna.

Mr Hassan: Ni hayo tu asanteni.

Com.Swazuri: Haya asante sana na yule ameclarify tumeshukuru sana. Buduba Mao, Duba.

Audience: (inaudible)

Speaker: Duba (Somali dialect)

Duba Mao: (Somali dialect)Aniga waxa laidaxa Bubduwa Macow. Waxan kaxathli in yar oo dhanta thathka meshan

iiskuguimathey eh, waxan rabna anaga sharciga dhowlada walabatha xathi ladaxey wax anaga naacanfoco o wax notaro oo

dibki xorey logaboxo in lagutharo sharciga.

Translator: Ee anasema yeye ni Budua Mao na anataka kama mumesema katiba inabadilishwa ibadilishwe ili tupate

kuepuka na taabu ambaye tulioko na zamani na tupate nafasi nzuri katika katiba mpya.

Mrs Duba: Waxan rawa ukolonigi iyo dibki anasomarney anaga rer North Eastern xathan axay oo in nalagathayo oo

mathax banan an xelno.

Translator: Haa ee tumepata taabu nyingi kama sisi ni watu wa mkoa huu na hivi sasa tunataka tuwe na nafasi nzuri ili

tunaweza kufanya maendeleo katika mkoa huu.

Mrs Duba:Tan lawath waxan kaxathlaya, ilmaxa iskulka oo shaqa laanta eh oo xafatha nojogo, kibandaxa oo caririr ogajiro

ilmaxa sitheth iyo towon sana ila shan lawan maxaelno kar dib ayan kujirna cunigi mel yar oo shaqa lagaqori laxa waxa ladixi

kibanda laimaw kibandixina cariri ayu nogajira.

Translator: Tuna watoto ambao wametimiza shule wamehitimu na wametimiza umri ya miaka kumi na nane ishirini, ishirini na

tano hawana kazi wanajaa nyumbani wakienda kutafuta kipande kazi wanaulizwa kipande na hawapati. Kuna watoto chungu

nzima katika hiyo katika manyumba zetu tunataka sheria ile ambaye inaweza kupatia watoto wetu kipande kwa njia ya rahisi.

Mr Duba: Kwa sababu waxan kuwainey screening card laaligis.

Translator: Taabu imeongeswa na screening card kwa hivyo tunataka sheria ambayo inaweza kubadilisha hii screening

card na tunaweza kupata kipande kwa njia rahisi kwa watoto wetu.

Mr Duba: Screening card oo kibandixi xathad kuqoroto ath xeleinin. Yanalaga thayo wax yalaxa nocas amal eh sharciga

xanaga bathalo wax yalaxas.

Com.Swazuri: Basi ametosha. Alafu Councillor Kartuma Ibrahim Kartuma Ibrahim councillor five minutes please dakika

tano.

Councillor Kaltuma: (Somali dialect ) Assalmu aleykum wanainchi xadthan naxay Kaltuma Hassan Ibrahim waxan

kaxathlaya anaga ila ukoloni manasomarin lakin waxan somarney emergency wax lairaxtho ayan somarney.

Translator: Wakati ya ukoloni ya uingereza umri yake ilikuwa ni ndogo hajui lakini amesema amepita hali mbaya wakati wa

emergency katika mkoa huu.

26