15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Com. Swazuri: Haya, asante haya Abdi kathir Yusuf hoo ile mzee haya Ibrahim Hassan?

Ibrahim Hassan: Asante sana kwa kunipatia nafasi ingine. Jina langu mimi naitwa Ibrahim Hassan Hussein. Ya kwanza mi

nataka kuongea nataka kusema kitu chache tu siyo mingi. Ya kwanza mi nataka kusema na utakuwa ushahidi kwangu kama sisi

katika mkoa hii haswa hapa Mandera tuko nyuma kabisa na serikali inajua lakini hawezi kuangalia sisi kwa sababu ya nini?

Ninyi tangu jana usiku mlikuwa hapa mchana uliskia mtangazo ya Nairobi hapa hakuna KBC inafika hapa na tunahesabiwa

katika Kenya. Kwanini sisi hatupati hiyo matangazo hiyo ni kitu moja nataka hiyo matangazo afike hapa.

Ya pili hata ingawa watu wameongea juu yake zaidi hii mambo ya screen hii screen ametufungia vitu nyingi sana ukienda banki

ukienda mahali fulani ukienda Nairobi unaambiwa wapi hii screen yako? kwa heshima yenu nataka hii kitu msuluhishe haraka na

tusikie hii matangazo yenu hii kitu kama ametupwa kabisa.

Ya tatu ni mambo ya ukabila tuko na shida sana tukitoka hapa pamoja na wewe hapa na gari kufika Narok mimi naulizwa

kipande na wewe huulizwi kipande. Katika Kenya mko na majirani makabila ingine kuna Uganda, Tanzania, Rwanda makabila

nyingi lakini kwa nini Wasomali pekee yao naulizwa kipande na wale ingine ambaye yule mtu ambaye unatembea nae haulizwi

na wewe unaulizwa. Hii ni shida moja sasa.

Ya pili ya tatu police anafanya mzako yao kitu ya kawaida chief awe na hawa watu wakati anaingia nyumba ya mtu vile mama

mwingine aliongea hapa sa hii usubuhi alisema we unaambiwa utoke nje ya nyumba yako hata askari wanaingia unaambiwa

wanakagua kila kitu yote na haujui kitu gani wamechukua na kitu gani wamekuwekea hapo ndani. hiyo kitu ya kwanza wakati

wanaingia askari wanaingia nyumba yako lazima iwe na chief ama mtu ambaye amejulikana na hawa ili wasipeleke juu sababu ni

hiyo sherehe mi nimesha ingia hiyo kazi ya sherehe hiyo na ninajua maoni yake sasa unaona nyumba yako imekaguliwa hata

unawekewa kitu silaha na baadaye unaambiwa hii kitu ni yako na wewe hata hujawahi kukaribia hiyo kitu.

Mimi naendelea mimi nimefanya kazi ya ukoloni zamani nikiwa askari. Tangu ukoloni ameenda sisi hatujapatiwa ukoloni

hatupatiwi sisi ninyi haki yetu. Mzungu amehama na haki yetu lakini nanyamaza kuna wengi ambaye amefanya kazi ya serikali

pension na ingine hizo walienda nayo waliuza kazi kidogo sana (inaudible)--------------------- tunataka hiyo walipe hiyo pesa

yetu serikali aulize hiyo Uingereza pesa yetu maana tuko na haki. Ingine sisi tuko na sheria yetu kitabu ya Islamu kitabu ya

Koran ametungwa zamani za kale sinaanzisha sisi hapana tunga ama hakuna mtu ya hapa ya dunia hii ametunga. Wale manabii

ambaye amesema neema ya mungu ameteremsha hiyo Korani ameweka sheria yote ya Islamu sa hii ikitajwa tajwa nasema

badilisha hivi badilisha hivi abadiliki. sheria ya serikali ni sawa tuko pamoja na wengine lakini sheria yetu ya Islamu sisi tuko

nafasi yetu kabisa hakuna mtu anaweza kuingilia sheria yetu hii sheria yetu inaendelea lakini Kadhi apatiwe uwezo zaidi kuliko

sasa.

Com.Swazuri: Yaani sheria itambue sheria ya kislamu?

Ibrahim Hassan: Ndio ngoja kidogo ngoja nimalize. Tena kila nasikia kila wakati mabunge yetu natete katika parliament

wanazungumza hoja ya inchi yetu ama kila mtu mahali amechaguliwa. Lakini kile kitu wanauliza inasemwa hapo hapo na hakuna

kitu inafanyika hapa kwetu unaweza ona mbunge ameteta ameteta inchi yangu asaidiwe hivi asaidiwe hivi amechukuliwa hapo

hapo na (inaudible)------------- hakuna kitu imekuja naona kuna ubaguzi hapo. Nataka wabunge waheshimiwa kama wale

wengine na hawa wapate haki yao.

Ingine nataka kusema ya mwisho ndio ingine nataka kusema ubaguzi ile tuko nayo nataka kuonyesha wewe kutoka hapa kufika

80

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!