JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
waxan katirsanaxay Committee tha Mandera East.

Committee Members: (Somali dialect) Assalamu aleykum. Aniga waxa laidaxa Fatuma Ibrahim Hassan waxan katirsanaxay

Committee tha Mandera East.

Committee Members: (Somali dialect) Assalamu aleykum. ……….(inaudible) Committee tha Mandera East ayan

katirsanaxay.

Committee Members:

Speaker: Basi baada ya hii ya maombi na kufanya hiyo introduction baada ya hiyo tutampatia usukani Commissioner

Mohamed Swazuri aendeshe programme

Com: Swazuri: Salam aleikum aa karibuni sana kwa mkutano huu wetu wa leo kulingana na sheria ya tume ya katiba

tunautangasa huu kama mkutano rasmi wa katiba na sheria inawalinda nyote katika mkutano huu unaruhusiwa kusema unavyo

taka lakini tu msitukanane.

Translator: Waxu yiriy Commissnaga shirka rasma ah oo sharciga bathalisa ayan bilaweina xaq ayath ulethixin in maoniga ath

labaxthan sharcigi ba ithin ilalina waxath shegten in uwaxba ithinka sogareynin lakin waxadh iskailalisan ina aadh qof ugaftan ama

adh iscaisan.

Com: Swazuri: Hakuna mtu atakaye athibiwa kwa kutoa maoni yake.

Translator: In qof raayigi udibtey tartis an thambi lasarikarin u sharciga qawa.

Com: Swazuri: Na tuna ma Commissioner wa tatu aa kwanza tuna Proffesor Wanjiku Kabira alafu niko na Bwana Keriako

Tobiko halafu mimi naitwa Mohamed Swazuri. Kwa bahati mbaya ndugu keriako ameingiwa na maji kwa macho usiku sasa

macho yake kidogo yanamsumbua kwa hivyo tutamruhusu aende akaone daktari kidogo halafu atarudi baadaye.

Translator: Waaxan xalkan kujogna sathax Commishnar Prof. Wanjiko iyo Mahamed oo asaga eh iyo Com. Kariako oo xaga

indaxa dib kashegano oo ruqseyneyno in u daqtar so arko sathax thas ayan xalkan xatha kufadina.

Com: Swazuri: Halafu kuna assistants wetu moja ako hapa wale wanarecord maswala yenu na mwingine yuko pale anarecord

maswala yenu na mwingine ndio huyu anaandika majina yenu hawa wote ni watu tunafanya nao kazi kuhakikisha kwamba

maoni yenu hayapotei

Translator: Ba nalasocthan oo xusanaxay in maonigi adh shegten in lagatagin oo laqoro oo record lagaliyo sathax

banalasoqota, ninka waxa qorayo oo kor fadiyo iyo ninkaskaley oo tagan kuli.

Com: Swazuri: Kuna njia tatu tutatumia kutoa maoni. Ya kwanza kuna wale wameandika memorandum lakini hawataki

kuzungumza hao wataleta memorandum hapa waandike halafu waende au wakae wasikilise wengine.

Translator: Sathax nooc aya maoniga lagudiwani thona tan uxoreyso, dhad qoral subiyen o memorandum wax ladoxo qoren

xathey rawin in ey kaxathlan wey kenayan ama wey fadinayan ama wey tagan.

Com: Swazuri: Wale wana memorandum lakini wanataka kupitia pitia tutawapa dakika tano lakini watupatie proposals

mapendekezo wasitusome memorandam yote kwasababu sisi tutachukua twende tukasome .

Translator: Thathka asaga eh oo memorundamka qorten noca kamit eh waxa waye thath rawan wexey koren ey xathan yara

kormaran thathka waxa lagacotsanaya in ey waraqtha odan ey aqrinin lakin in ey recommendation ama wexey rawan in lasubiyo

kalih in ey shegan maxa yeley anaga aya waraqtha latageina wexey kuqoreyna weywa kuqorantaxan.

3