15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

hatuwesi kulipa sasa juzi nimeandikwa shillingi mia tatu hospitali dawa hiyo siwezi nunua kwa hivyo serikali iweke mkazo watu

maskini wapate dawa vilivyo.

IsmaelMohamed: Mita kaley polista anaga o intan laeg xathi iskoris wax xaleyo. Polis aya naqaracthey anaga oo shan iyo

kabathan eh markey nagathalena wey iskatagen, qof ankuthacweynana malaxa. Tukale aya jirta dinta islamka xos maxa

logudigey, maaxa yeley macalin iskulka mishar aya lasiya laikin macalin quran mishar malaxa………(inaudible).

Translator: Okay anasema pia baada ya police harassment pia iko hiyo pia haijaliwi na ya mwisho mwalimu ya Koran

ambaye nafundisha watoto Koran katika Duksi naonekana imewekwa chini hawalipwi na hiyo pia nataka serikali pia iangalie.

Translator: Inaonekana tumemaliza lakini naomba radhi niongese point moja tu nimesahau very important moja tu naomba

radhi mambo ya ardhi inaonekana tumesema nyingi sana lakini especially communial land nafikiri problem yake imekuwa

commercial kwa hivyo tuweke katika katiba land ambaye haikuwa developed haiwezi kuuzwa ama iwe transferred. Empty

land communial land area yetu hii trust lands ambayo unapatiwa mtu akupatie plot kama hakuna physical facilities ambaye

amejenga haiwezi kuuzwa ardhi hiyo haiuziki hiyo iwekwe hiyo itasuia corruption.

Com: Swazuri: Sasa tunataka kuwashukuru sana imekuwa siku ndefu tumesema tulikuja hapa kusikisa maoni yenu na nyi

mmekuwa mkilalamika siku nyingi kwamba serikali watu wa down Kenya wanawadharau wanawaonea wanawa marginalize.

Sasa leo tumekaa hapa mbaka saa moja kuproof kwenu kwamba sisi watu wa Kenya wote tunawaheshimu nyinyi kama ni

sehemu ya Kenya ingekuwa ni kwa athifa ingine saa tisa sisi tungefunga, saa kumi tukaenda lakini kwasababu tunataka

kuwaonyesha ya kwamba nyinyi tuna waconsider kwamba ni wanainchi wa Kenya tumesema tukae hapa mbaka ile list iishe

naona list imeisha na pia tumeongesa watu ambao walikuwa wamekuja kuchelewa.

Hiyo inadhibitisha ya kwamba sisi tunawaheshimu na hii siyo mwisho tukisha andika hii draft yetu report tutarudi tena sheria

imesema turudi hapa tena ikiwa programme yetu haitabadilika sababu wanasiasa wanaingilia saa yote ikiwa haitabadilika sheria

imesema tuje tukae na nyinyi kwa miezi miwili. Ile report tuwaletee msome tuje tuwaulize tena je mliyo sema tametekelezwa au

la, mnataka tufanye nini? Kwa hivyo sheria inasema tutarudi tena hapa tuje tuzungumze nanyi. Haya mzee atupatie dua tusisahau

mungu na tena tunawashukuru wale ma co-ordinator na wale walio fanikisha hii hadhara matranslator, wale walikuwa

wanakuwa nachukua microphone hawa matechnician na staff wetu kwa subira inavuta heri, kwa kusubiri kwa muda wote huu

lakini tusisahau Mungu kwa mambo yote kwa hivyo sijui mzee utatupatia dua? nani ata tu………

Speaker. (Somali prayer)

Speaker: Shout your names there.

Paul Chemutut: My name is Paul Chemutut. I am a district Officer. Mine is touching on the powers of the president, the

executive powers of the president, the executive and excessive powers. That was that time of independence and it was created

for a purpose. So but after thirty nine years after independence I think those powers should be reduced dramatically. Where we

have the Judiciary Arm of the Government the Legislative and the Executive. So the two arms of Judiciary and Legislature are

stilll very wide compared to the Executive.

So I would suggest that the office of the Chief Justice should be same and added more powers and more independence

particularly from the interference of the president I am saying this because this complains of Masaka. I come from an area

where what happened was tribal clashes between Marakwet and Pokot. The Marakwet were very much affected by those

99

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!