15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

aqriska, cafimatka dibka dan an qabno oo xorteitha lashegey in waxan rabna an xorey ukacno dhadka ayan uthambeyna.

Translator: Kwa hivyo nasema sasa sisi vile nasemekana hapa kwa upande ya dini pande ya utibabu kwa shida yetu tunataka

iondolewe na pia kama wengine wengine wenzetu wa Kenya wengine. Lakini hiyo pia tuko nyuma ya wanaume wetu.

Fatuma Mohamed: Hatutaki kunyanyaswa maanake tuangaliwe waingiliwe nyumbani hata tukipewa kipande hatuwezi

kubaliwa ati tulizwe swali tushikwe tupelekwe ndani hatutaki hiyo tunataka tupate uhuru ambayo tumejua wewe ni Mwanakenya

au ni mtu ingine. Kama naongea na mtu anajua kama mimi ni citizen ya Kenya si ati amenishika shingo ananipeleka police ati.

Translator: Waxan rabna sharci firinayo xaga rer Kenya .

Fatuma Mohamed: Mitixanka ilmaxa iskulka weykadacan sababtana wan garani wayey anaga ilmaxa sekendriga dib ayan

kuqabna gebda xaaxathan wil xaaxatho dib ayan kuqabna. Mitixanka asaga eh sharciga xano ogalatho sithi lagufirinilaxa

NorthEastern mexey udactha oo laiswarsatho.

Translator: Kwa hivyo nasema na vile amesimama hapa mbele mtihani shule ya form four ya girls na boys yote tuko nyuma

zaidi katika Kenya na hiyo tunashangaa ni kwa nini kwa hivyo tunataka ata inquiry ikifanywa iulizwe kwa nini North Eastern

province iko nyuma.

Fatuma Mohamed: Tunataka namna hiyo sina maneno mengi

Speaker: Hiyo watoto naanguka yaani si ndio?

Audience (inaudible)

Speaker: Na kwa nini hapana kusoma vizuri.

Fatuma Mohamed: Tunataka tufuate hiyo kwanini watoto wanaanguka?

Speaker: Okay.

Fatuma Mohamed: Hatujui maanake mimi niko three years naishi hapa alikuwa natoka down country sijaona mtoto moja

ameenda university why?. Shauri yake ni nini.

Translator: aniga sathax sana ayan mesha joga manarkin ilama university athayin malaxa.

Fatuma Mohamed: Maanake mi naona kama watoto yaani sijui ni nini badhi ya mitani watoto hawasomi kwanini hawezi

kuulizwa ni nini? (inaudible)-------- kutoka hapa chini kwa nini si iko government inaulizwa mbona wengine hakufutwa kazi

inaulizwa kwa nini?.

Translator: Sababta ey ilmaa ey udaca maxawayey macalimina wey jogane.

Fatuma Mohamed: (Somali dialect) Asalamu aleykum warahmatulahi.

Com.Swazuri: Mwingine ni na Dagan, Dagan.

39

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!