JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
kunyanyasa. Ya inne university sisi anaambiwa tunasoma tunalipa pesa hakuna mahali tunaenda. Hatupewi hiyo chance hata ya

university na watoto wamepita. Tunataka sheria mpya university tupewe kiwango kama watu wengine university kama apana,

tutupilie mbali hii maana ya elimu yote katika hii province.

Ya inne hakuna kusema ati ile kiwango inagawa kila kitu inaenda kwa katika hii province tuko na MP kama kumi na moja na

nne ile iko maana yote natoka garissa kila kitu natoka garissa ambayo ni province tunataka hata kama ni office of the president

hata kama ni minister nominated MP lazima tupewe tuketi kitu moja. Mandera ipate moja Wajia ipate moja Garissa ipate moja.

Hapana kusema kila kitu naweka we, hii watu naharibu wakati yangu. Kila kitu nawekwa Garissa yakuwa resorce man ni yeye

waziri ni yeye DCc ni yeye. Sasa tutaongea sisi watu wa Mandera nini hata hawa wengi yako utalaumu bure hawesi jua swali

yote hata DC ni hawa.

Moja nabaki tafadhali baado ingine DC sheria mpya hii tuwekewe maanani ya kuwa hatutaki mtu yeyote ambaye hatatoka kuja

mahali ingine kufanya. Watoto wetu wamesema wapewe mamlaka ya DCs and PCs ikiwa anatoka murang’a ana kuja anakuja

hapa (inaudible)-------- anapora pesa inaenda DC anaenda kujenga Kisii na tunagojea ati million kumi tumepewa na serikali

naanbiwa fanyeni kazi millioni kumi yenu na million kumi DC amechukua. Wewe ukienda dc permanent secretary tena ni Mkisii

utaenda wapi ukistaki hiyo DC.

Com.Swazuri: Imeisha dakika tano yako imeisha Mimi nahesabu hapa usione nasema tu. Tafadhali sawa haya asante. Hiyo

tumeskia tumeskia hiyo haya asante andika majina yake huyo mzee haya ngoja Ali Osman Omar Ahmed S Hussein dakika tano

tafadhali ee.

Ahamed S Hussein: Assalamu aleykum, Mara ya kwanza ya kuomba tunataka kitambulisho tupate na kazi. Ya pili tunataka

ile mtu ambaye amechaguliwa mara ya kwanza ya pili asirudi kama ni bunge kama ni president kwa sababu wenzake wakule

maanake sisi wote tunataka kula, hata sisi tuko na njaa. Mara ya tatu kitambulisho tufanyiwe kama passport ya kwenda kila

mahali. Akubaliwe kupanda hata kama ni ndege na kwenda kama Ulaya. Kama unataka kwenda tubadilishiwe ya kufanya ya

kwenda.

Ya tano tunapenda ile wakubwa yote ile imeandikwa na serikali asikae, baada ya miaka kumi. Atolewe awekwe mwingine

nafasi ten years retire apewe ingine, awache mwengine haya. Ya inne tunaomba ambaye sisi ambaye hatuna kazi ile serikali hata

kama amekosa hafasi ya kupatia sisi apatie sisi pocket money kidogo andikie sisi yaani welfare kidogo ya kulisha watoto.

Ya sita ya mwisho tunaomba ambaye ile ambaye kina mama ile wako na yatima yote ili wazaidiwe waandikiwe kitu ambaye ya

kuelimisha watoto yake. Kitu kama fifty bob. Ya mwisho naomba ile wazee wajiwezi ambaye wako nyumbani yote ama wale

ambaye hawajiwezi yote ili wapatiwe mzaada kwa pande ya serikali.

Com. Swazuri: Baya Hassan Ibrahim Hassan. Okay patia huyo mzee.

Hassan Ibrahim Hassan: Ah mimi naitwa Hassan Ibrahim Hassan. Kutoka mji hii ya Mandera Central location in Central

division in Mandera district of North Eastern province na mimi ningetaka kutoa maoni zangu ifuatavyo. Kitu ya kwanza mimi

nataka naomba sheria yetu mpya itunze ardhi yetu ambayo imetengwa bila kazi, kama vile ardhi kubwa ambaye inakaa kati ya

Wajia na Madokashi kama ambayo inaitwa Wazo Irrigation ifunguliye Wazo Irrigation Scheme, katika hiyo area, ili tupate kazi

katika hiyo area na wanainchi waweze kujizaidia kutokana na mapato kutoka hiyo area.

Ya pili mimi ningetaka Serikali yetu tukufu katika hii sheria mpya itie maanani kabisa haki ya vijana haswa youth groups na

91