15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mr Abdi: Na ya mwisho Sir nimesema ya kwamba gender equality na nilikuwa nimeona mtu amesoma hapo amekuletea

kitabu enyewe na sura ambaye inaonesha gender equality kweli iko lakini si kanuni katika ee inchi hii ambaye sisi Waislamu

tunakaa kwa sababu huwezi kuambia mama apande miti akate matawi na wewe unakaa chini yake hiyo haiwezi kuwa gender

equality kabisa na mwanaume hawezi kuruka aende maternity ward azalishe mwanamke kwa hivyo gender equality tafadhali

sana iangaliwe kabisa asante sana.

Audience: (inaudible)---------------------------------------------

Com.Swazuri: Haya hayo ni maoni yake yeye ameiacha hapo amesema tuiangalie tu tuiangalie tu ee tuangalie haki iko wapi

tumemuelewa hivyo haya sasa ni nafikiri ni wakati wa swala nilikuwa nimeuliza tufanye tuproceed namna gani kwasababu

tunataka democratic ee agreement.

Translator: Waxa layiri matagna oo masotukano xathana masonocona masa wa wathana.

Audience: (Somali dialect) maxatiri.

Speaker: Haya sisi kama kawaida ni Waislamu tutaenda kuswali lakini mimi ninamapendekezo moja kwa Commission vile

tumefinywa na Kenya na miaka thelathini na tisa tuliopita hapa ninyi kidogo mumetufinya kidogo hapa leo. Kwa nia yenu ni

kweli you were there in down Kenya mahali njia iiko tarmacked (inaudible)---------------wanakuja na maoni yao (inaudible)

------------wanakuja na maoni yao Wakikuyu wanakuja na maoni yao kila siku mnazingirwa hivyo kwamaana wako na means

ya kufika kwenu haraka unakuja hapa kwetu siku moja ama siku mbili na mnatupatia per person five minutes which is not sioni

kama hiyo ni haki bwana commissioner kwa hivyo baada ya kuswali na kurudi turudiane hapo saa nane naomba mutupatie

atleast ten minutes per person ya.

Com.Swazuri: Sasa Bwana ngoja ngoja bwana msemaji kwanza Suleman ee bwana suleman kwanza sisi tunajua kwamba

wananchi wa North Eastern province wameonewa tunajua hiyo lakini hizi dakika tano tunafanya Kenya nzima sio hapa pekee

yake. Uliza watu wa central province uliza watu wa Coast tumeenda uliza watu wa Eastern. Kila mtu tutampatia dakika tano

kwasababu wananchi wapate nafasi. Kwa hivyo sisi tuna propose turudi hata saa saba na nusu saba na nusu sio saa nane saa

saba na nusu na tuwe na nyinyi hapa saa sita sa usiku haya.

Com.Swazuri: Tutaanza na huyu mzee ambaye hakuandikishwa jina lake lakini alikuwa mtu wa kwanza kufika Mzee Abdi

Boru. Utasema kwa lugha gani?

Abdi Boru: Borana.

Com.Swazuri: Kiborana.

Translator:

Com.Swazuri: Kiswahili we nasema haya yule atatranslate atumie hii microphone.

Audience (inaudible)------------ xaga iskafadi aniga aya kuxainaya.

Mr Abdi: Asalam aleikum

Audience: Aleikum salam.

Mr Abdi: Mimi naitwa Abdi Boro Guyo mimi nineteen nineteen fourty kama mimi naendesha kazi ya military. Kisha mimi

natoka military nakaa hayo wakati nakamata kina Kenyatta nakaa naye logitang miaka tano. Kenyatta, Fred kubai, Ndolo

ngeithi,msichana yake Kenyatta na bibi yake.leo katika Kenya ninyi wageni. Kwasababu

45

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!