15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

artana in ey dhowlada ey mishar nosiso ayan rabna.

Translator: Vile amesemwa na wenzake hapo mbeleni anasema madarasa schools anataka iwekwe nguvu kama shule zingine

ya secular schools na walimu wa madarasa wapatiwe mshahara na serikali vile secular schools.

Abdia Ailelo: Tii sathaxath, sithi xathay ninkas thorashatha classki sitheth hapana anaga mana aqrisanin ma Councilors in

anagana an sogalno anagaoaqrisanin.

Translator: The other point amesema vile wenzake amesema mbeleni ati concillors lazima wasome hiyo sheria hataki

nasema councilors watu wetu wengi hawajasoma kwa hivyo kwa councilors si lazima awe amesoma.

Abdia Aileolo: Tii oguthambeysey in dhowlada Kenya akina mama kor ey uqato ayan rabna wana………..(inaudible) sisi

makosa kabisa serekali ya Kenya.

Translator: Okey ya mwisho anasema nataka sheria ambayo inawekwe na ambayo inaunga mkono akina mama.

Com.Swazuri: Haya ee sasa tutamsikilisa Rashid Adan Fara. Rashid Adan Fara five minutes please.

Mr Rashid: Mimi ni Rashid Adan Fara ambaye ni CCC member nawakilisha political party katika hiyo CCC. Tumeendesha

na hii kazi ya commissioner tangu ninyi naanza mpaka leo tuko pamoja. Tunafurahi leo tumefika hapa. Yangu.

Translator: Aniga waxa laida Rashid Farah waxan kamit axay Dhaka loxirsal Mandera xaga shari bathalista waxan

kufaraxsan yaxay in an iskumel imaney.

Mr Rashid: Yangu ni moja ambayo inamatatizo mingi katika dunia. Hii ni hapana novel this is the Holy Koran and this what

says the Holy Koran “Suratul Nisaa” chapter thirty four section six says “Suratul Nisa”chapter thirty four section six says a “

woman is represented by a man.”

Translator: Kitabka Sura Nisa ayatha sothon iyo afar waxey shegtey in nimanka ey xawenka wakil kayixin.

Mr Rashid: Okey (inaudible)-------- to that they are protected, married, inherited orphans what women they are all cared

there is no way a woman is allowed if she is really Muslim and she believes in this holy Koran Aya tul- Sura that she can come

to the public calling herself councilor or MPor a chairlady. We don’t mind those who allow their people or whatever. There is

no in this Holy Koran, the one hundred and fourteen chapter. If she is a believer if she has this in the right hand there is now

way she goes infront of the public and talk or represent a man or they represent themselves she cannot be a man we have not

seen a Kanisa or a mosque which is lead by a woman. Si bado ona mahali maana katika dunia hata Europe tumeenda

wanakuja nyuma pole pole wanaingia kanisa wanakaa kando kama hivi tu lakini haiwezi kuwa Imam.

Interjection: (Translator)

Mr Rashid: Kwa hivyo all, wacha mwanamke yote ya Islamu hakubaliwe leadership hapana kuchukua councilor hapana

kuchukua MP hapana kuchukua chairman or chairlady let him remain with his plans.

34

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!