15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Translator: Mizanatha marki laaqriyo waxadh maqli camri iyo sigarka waladima.

Mr Abdi: Sisi Wsomali tunashida flani kabisa ama wale ambaye wanatumia hiyo kitu katika Kenya hii wana shida.Hi

ningependa kufafanua kabisa ni miraa, miraa imesumbua watu ya Kenya kwa jumla wale watu wanakula miraa kabisa.

Translator: Qath ayan kacabanaya dib ayu dhadka ukeney unababiiyey.

Mr Abdi: Meno meno ya watu ya wanaume yote imekwisha kabisa.

Translator: Ilkaxa oo dan wa ewer wey damathaen.

Mr Abdi: Wanaume wamapotesha nguvu ile inatakikana kabisa.

Translator: Xogi raga nimatha wey babacthey.

Mr Abdi: Pesa inapotea kabisa katika wilaya hii.

Translator: Lacna wey galbatey Meru ayey ugalbatey.

Mr Abdi: Na kwahivyo mtakubaliana na mimi ya kwamba ndege moja ya miraa ikitua mandera na kuamka inachukua

million tatu kwa mchana.

Translator: Mrba xathey sothagto oy thusho xathana sathax million bey lathusha.

Mr Abdi: Na tunasikitika ya kwamba minister for commands hakuchukua miraa katika budget hata wakati moja katika

Kenya

Com.Swazuri: Kwa hivyo unasema miraa.

Mr Abdi: Iwe budgeted katika budget process ina madhara kabisa kwasababu itakuja itaingia katika kanuni za sigara na

pombe kuteremshwa kwasababu imemaliza watu kabisa watu wakijadiliana katika bunge kuhusiana na meno na mambo ya

kinyumbani yenyewe.

Translator: (gara dialect) processka budgetka xalagutharo.

Mr Abdi: Ningesema ikatwe lakini hii kitu imetoka katika dini yenyewe na ni ngumu sana kukatwa lakini ningesema iangaliwe

kabisa.

Translator: Inlafiyo ayan rawa ilen Kenya ayukadaxbaxa qath xalafiriyo.

M Abdi: Ee process ingine ambayo nmeona kidogo ambayo ninataka kuongesa ni katika

(inaudible)-------------------------------------- inaonesha Kdhi katika Kenya ana kazi tatu ambaye mnajadiliana juu yake na

hii ikiendelea sana katika mjadala yenu inaonesha ya kwamba itakuja kutupa Kdhi kabisa kutoka Kenya nzima.

Translator: Xathalka sithan usoctho an ujetho Khadiga xalaxan yarna inlawaini thono ayan kacabsoni.

Mr Abdi: Kwa sababu Kadhi apewe nafasi kubwa katika Judiciary ya Kenya waendeshe kazi yao bila ya kupewa amri

kutoka upande ya Judiciary ingine kwasababu hao wenyewe wanapata nidhamu ya kidini.

Translator: Khadiga nathamna xata kajiro Kenya u awoth laxagusiyo yacni sharci dinac kaley lagakeney ya lagukortuwin.

Mr Abdi: Ee upande ya corruption katika Kenya imeenda zaidi kupindukia kabisa hii ningependa kuomba kamati katika

Kenya kama yenu hii iundwe kabisa ili ihakikishe kabisa inapigana inapigana kabisa na hii corruption ambaye inaendelea katika

Kenya nzima.

Translator: Lalush wainn guthi lathagalamo lasubiya.

Mr Abdi: Ee kitu ingine Bwana Commissioner ninataka kusisitisa mtu kama city yake kubwa ambaye ilikuwako grade

43

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!