JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Translator: Mambo za ardhi: Kuna watu wachache ambao wanamiliki ardhi nyingi katika mji hii wa Mandera hivi sasa

kuna maplots ambaye wanainchi wanakaa na wameka kwa miaka kumi miaka kumi na mbili mpaka miaka kumi na tano na

watajiri fulani wameenda Nairobi wamejitengenezea cheti na wanamiliki hizo ardhi. Tunataka sheria ambayo inaweza kulinda

haki ya maskini haki ya mtu wa kawaida ili anaweza kupata mahali kuka na ile plot anakaa kwasababu yeye hana uwezo ya

kuenda Nairobi pengine kujitengenezea hizo kartasi. Mwingine ambaye iko na uwezo anaenda kujitengenesea hizo cheti

anakuja kuondosha wewe katoka ardhi kwa hivyo tunataka sheria ambayo inaweza kulinda watu ambao hawana uwezo kama

hii ya kwenda Nairobi.

Com.Swazuri: Ya mwisho.

Councillor Kartuma: Sasa ya mwisho sisi kama ni Muislamu na taka. In sharcigena muslimka in unaxukumo oo Khadiga in

uxogeisto an rabna lakin waxan rabna anaga Mandera ayan kudalaney muslina wanaxay dinti oo ninka Mombasa jogo u aqriste

ninki Mandera jogo wuaqristey waxan rabna Khadigena in u noctho Khadi Mandera kudashey oo kuaqristey sas ayan rabna.

Translator: Basi ya mwisho nasema sisi ni Waislamu dini yetu ni ya Kislamu tunaishi hapa Mandera. Upande wa Kadhi sisi

tunataka ile Kadhi anatoka Mandera hatutaki kadhi ambayo ametoka mahali zingine kama ni Mombasa kama ni Nairobi hata

kama ni mahali ingine kwa hivyo ile offisi ya Kadhi tunapenda sheria itukubalie tuwe na kadhi ambaye inatoka katika Wilaya ya

Mandera.

Com.Swazuri: Haya na mko na watu wenu wamesoma wanaqualify kuwa Kadhi?

Audience: (inaudible)

Com.Swazuri: Asante sana councilor. Mohamed Diis Abdilahi? Mohamed Dil Abdilahi haya

Audience: (inaudible)

Mohamed Abdilahi: (Somali dialect) Bismilahi Rahmani Rhim. Afsomali ayan kuxathla aniga. Bismilahi Rahmani Rahim.

Waxan kaxathlaya dibka jiro sithi logabixilaxa ayan kaxathlaya.

Translator: Anataka kutoa maoni zake ku ili kutoka katika ile taabu tunazo sasa aye.

Mr Mohamed: Anaga waxan naxay thath xola daqata eh, xolaxana waxa wayey bertaini iyo bunkaini waye waxan rabna in an

uxelno suq in an uxelno.

Translator: Sisi ni wafugaji, kahawa yetu majani yetu ma ngombe yetu yote ni hizo mali tunataka ile sheria inaweza

kutuwezesha tupate soko ya hizo mifugo zetu.

Mr Mohamed: Hasa suq waxan wellibo larabno waxa waye dulkan Kenya gel lagamaistacmalo anaga umba istacmalna in gel

becisa xilibkisa sithi xolaxa kaley loqathayo thiwata in an suq uxelno ayan rabna.

Translator: Haswa ile soko tunaitafuta ni ya ngamia. Walio wengi katika Kenya hawajui maana ya ngamia sisi ndio

tunatumia ngamia na ile mali yetu ya kwanza kabisa ni ngamia haswa tunataka sheria yakutambua ngamia na utupatie soko la

ngamia.

Mr Mohamed: Meshan ila Malkamarey anaga beraxa ya la istacmala, beraxa ayaga xa dhadka weykurafathen sababta bera

dulkakaley wa Title Deed oo Ingiriska. …(inaudible) dulkena waxba kamabaxo walagurafathey Tittle Deed ayan urabna

dulkas.

28