15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Audience: (inaudible)

Dagan: (Somali dialect) Aniga waxa laidaxa Dagan Guhat Abikar.

Translator: Dagan Goha Abikar.

Dagan Abikar: (Somali dialect) Aniaga waxan kamit axay dhadka curiyanta.

Translator: Anasema yeye ni moja yapo ya disabled people.

Dagan Abikar: Lawatan sana walajoga mar u yaxas u lugigacuney.

Translator: Okey (Somali dialect) meqa sana bet tiri.

Translator: Twenty years sasa amekulwa na mamba katika mtoni. Miaka ishirini iliyo pita siyo? Ndio alikulwa na mamba

now she is disabled.

Dagan Abikar: Xoran waxan kusoconijirney bira xata wan awothi waye gari yasha dhadka ayan xata jitka uistaga oo suqa

igukento.

Translator: Zamani alikuwa akitumia cratches ile chuma ya kutembea naye lakini siku hizi amesema ameshindwa kwa hivyo

sasa anakuwa anasimama tu barabara anaomba malift aende labda soko anunue vitu na arudi nyumbani.

Dagan Abikar: Marka bathama lug u yaxas uigacuney digeiga ayan rawa in lailibeyo.

Translator: Kwa hivyo anataka watu kama yeye na hata yeye mwenyewe iwekwe sheria ya kwamba ilipwe serikali yeye

alipe haki yao watu kama hawa.

Dagan Abikar: Xata wan shaqeisan wayey xoran wan shageisan jirey xata wankalabixi wayey wana soconi waye marka

waxan rawa dhowlada in ey musacatha ey isisso.

Translator: Pahali alikuwa anafanya kazi na anafanya kazi kwa watoto wake nasomesha, anaendelea mambo yake lakini

siku hizi ameshindwa na hapati msaada yoyote kwa upande ya serikali, Kwa hivyo watu kama yeye na wengine wenzake kama

yeye sheria iwekwe ya kuzaidia watu kama hawa.

Dagan Abikar: ………(inaudible) ma xola dhowlada xorta oo dhadka digotha labixiyo masa waxa waye wax ath kuftey

camal, digeiga ayan rawa aniga wax kaley an qawo malaxa.

Translator: Okey anamaliza hapo. Anataka haki yake na watu kama yeye ipatikane

Com.Swazuri: Amemaliza ee? Haya asante sana tutamsikiliza aa Abdi Salam Mohamed. Abdi Salam Mohamed. Haya

huyu hapa akifuatiwa na Ahmed Abdi Mohamed.

Abdi Salam: Mimi naitwa Abdi Salam Mohamed Maalim na I am representing Civic Society. I come from Mandera Civic

Educatioin Forum na ile, ile mambo nataka nionge juu yake Ziko hapa. Ya kwanza, the first thing tumekuja hapa ili tutoe maoni

40

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!