15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

wakijaribu kufanya hii kazi ya kuelimisha watu.

Kwanza magazeti inafaa wazaidiwe sana kwasababu watu wa sasa serikali imesema cost sharing hapa hakuna Information

Officer na offisi yao kuna secretary moja sisemi hiyo kukashifu lakini ni ukweli na ni cost cutting ya serikali kwa hivyo inafaa

serikali isaidie wale watu wataanza NGOs ya kuelimsha watu kwa vile wakati wa sasa serikali imeenda kinyume nikisema

hivyo ni ile sheria imeweka kwa bunge kikinyume bila kujulisha hawa yaani tuseme mtu akitaka kuanza magazeti yake kidogo

lazima aweke pesa hundi nono na shida zingine ya journalist kwahivyo tunataka serikali izaidie watu sana kwanza library ipanue

mobile library na isifanye hiyo sheria irudi kutoka kwake ibadilishe and that was just in short the other one is kuhusu education

yetu hiyo ni mwisho.

Education yetu naoni si is not friendly where by even in the school there are 4Kclub wanafundishwa mambo ya ushambani je?

Kwanini hawafundishwi mambo ya ukulima kwanini hapana ita mtu kama Daktari Korar ambaye anajua kutibu hizi mifupa

kwanini hawaleti mzee naitwa mi naita yeye Daktari Shabeno ambaye wanaweza kufundisha hao mambo ya mamiti na

kujitafutia kazi ni mzuri serikali imeona sasa uzuri ya daktari ya miti shamba kwa hivyo naonelea vijana wetu kuanzia utotoni

kufundishwa mambo ya pastrolism na elimu ya kikwao hapo nashukuru wanainchi na wale macommissioners ambaye

natembelea sisi karibuni asante.

Com.Swazuri: Sasa tunaenda kwa Abdi Asisi hayuko, we unawajua wote I don’t need it any way thank you. Mohamed

Iibrahim hayuko? Abdi Baraka osman hayuko Suleiman Mohamed. Haya ni wewe haya haya we ni mtu wa mpira? KFF haya.

Suleiman Mohamed: Thank you commissioners mimi kwa jina naitwa Suleiman Mohamed Isaack. Ningependa kutoa maoni.

Haya kwanza ni swali kabla sijatoa maoni yangu na nafikiri I am not mimi siyo professional lakini kwa Katiba nafikiri Kenya

imeandikwa it’s a Christian state imeandikwa dini gani kwa hivyo kama kulikuwako Kenya imeandikwa Christian state ndio

ningepinga kwa maana tuko na thirty percent of muslim population (inaudible) ------ wale hawana dini ni (inaudible)-----

Wakristo ni hamsini kwahivo hatuwezi kusema Kenya ni Christian state.

Ya pili ya kwanza president must be executive kwa maoni yangu and he should be not above the law. Na mimi nasema hivi mtu

yeyote ambaye anachaguliwa awe rais awe bunge awe concillor ama anashika mamlaka kubwa kubwa katika serikali ile mtu

hakuna dini asipewe cheo yoyote hata kama ako na masomo ya aina gani kwamaana mtu akiwa na dini ako na imani Fulani,

awe ni Mkristu awe ni Muislamu iko mpaka fulani itamkatazia azifanye maovu ile angetaka kufanya. Kwa hivo mtu kama

(inaudible)-------- kama Richard leakey no.

Mambo ngine mimi nataka powers for minister of local government iwe reduced kwa maana tunachagua madiwani tunakuwa

na county council tunakuwa na town council kwa sababu fulani ambaye isiyojulikana minister amaamuka ako na uwezo

anasema hiyo cuncil nimefanya commission kwa hivyo those powers tunataka iwe reduced kwa maana wale nafanya

commission ni wale wamechaguliwa kama yeye. Ya tatu tunataka parastatols head kama ambassadors wakiteuliwa waletwe

kwa bunge bunge ipitishe sindio sa hii mtu akuwe ambassador ama akuwe managing director ya parastatols.

Ya tano Kadhi alikuwa amesema hiyo maneno our environment imekuwa distabed early nineteen eighty kuna exploration

company imetumwa hapa hafikiri hii hall ni zaidi kuna zehemu katika wajia district inaitwa hadado na harjida mtoto amezaliwa

tangu hiyo company ilikuja yaani wanachimba ardhi ikifika kiwando fulani Wafrika wote wanasanywa kwa gari wanajaa msito

hiyo mahali leo mahajabu kwa maana sisi we are marginalized area hakuna press wana tu cover utakuta mtoto hana hii mguu

84

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!