JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
performing MPS ile mbunge ambaye hawezi kufanya kazi yake vile anatakikanwa tunataka sisi wanainchi tupewe empowerment

ya kuondoa yeye kwa kiti.

Alafu mambo ya pande ya political parties mimi nataka mapolitical parties yote wapatiwe pesa ya kitu kama public fund we

want a funding of all political parties alafu mambo ya civil servants teachers mimi nataka weekly wages to be introduce for civil

servant na constitution in order to cut corruption and to bring efficiency. Hizo ndio maoni yangu nasema asanteni sana.

Com. Swazuri: Abdulahid Abdulla yule kule.

Abduwahid Abdulla: Asante salam aleikhum. Mimi kwa majina naitwa Abduwahi Alan Abdulla yangu siyo mengi ni machache

tu, Ya kwanza nitaongea juu ya nidhamu ya serikali yaani formation of the government vile system ambayo tunaitaka ile system

ambayo tunaitaka serikali ichaguliwe nadhamu ya kwanza ambayo ilikuwa mbeleni ilikuwa raia inakubaliwa tu wachague bunge

other formation hatuna habari sasa tunataka hivi constitution ikuwe ipate nadhamu ya kuwa ipatika nadhamu yetu ya kuwa raisi

asichague head of civil servant pekee yake yaani ipatikane wapunge kati ya wapunge ipatikane a special commission ambaye

watachagua Head of Civil Servant Head of Judiciary hata kama ni port authority kwa vile resource muhimu hi political position.

mtu ambaye anashikilia mahali nzuri ndio anatuangamiza tunaisha sas lazima ipatikane katika bunge special commission ambayo

wanachagua head of civil servants hata kama labda mimi ni –(inaudible)----- ya port authority judiciary all those things

(inaudible)--------------------

Ya pili under education katika Kenya kuna three types of education sisi ambaye tunajua mambo ya Waislamu upande ya

Waislamu kuna system moja ya madarasa ambayo serikali ya Kenya hafahamu ama they don’t recognise tunataka Constitution

ipatie fursa ya kwamba hio kama wanainchi wa Kenya pia wa to be recognized tutampulishwe teachers to be paid and special

service commission to be formed under Ministry of Education ambayo inahudumia both certificate and paying are also included

in the pay role yaani pande ya elimu ya madarasa.

Ya tatu Kadhi is going to be strengthen in powered kwa vile sisi sasa tunajua ya kwamba Kadhis Court wana the only rule

three cases ambayo ni divorce, engagement and adultery mambo ya inheritance tunataka other immoralities like abuses drugness

adultery yote iongezwe ili apate fursa na apate jukumu kubwa katika Islamic community. Ile ingine ya secular education pande

ya Ministry of Education tunataka pia hii system ya 8-4-4 ibadilishwe ikuwe continuous way of education yaani hakuna mambo

ya form four O level yaani continuos mpaka university yaani mambo ya to make people fail katikati unafika standard eight

people have become failier someboduy might lose hope sasa instead of giving them, demorolise them we make a system

continuous system standard one to eight form one to form four university yaani hakuna mambo ya failier continuous work tutupe

mambo ya 8-4-4 system asanteni sana

Com. Swazuria: Ali korisa hayuko? Abdirahim Adawa Ishmael Ahmed Lakicha/.

Ismael Ahmed Lakicha: Asante kwa kunipatia hii nafasi.

Translator: (Somali dialect Translation)

Ishmael Ahmed: Magaceiga waxa wayey Ismail Ahmed waan kasoctha Garikorome.

Translator: Anaitwa Ishmael Ahamed Lakicha.

Ishmael Ahmed: Gara koromey wa dhad thagago Mandera galey.

Translator: Anawakilisha kabila ingine ya huko (inaudible) ----------- anaitwa Garikorome ambaye anaishi area hii.

78