15.11.2012 Views

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

JUNE, 3RD 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Translator: Ila xatana wax xaq oo wali laisiyeyey majirta xata carki shaqatha wan xaista wali.

Hussein Bary: Na nimeumia mpaka nimelemewa natembea na wheel chair.

Translator: Wan jaawey ila na xata kusoctho kursan.

Hussein Bary:Na nina watoto.family.

Translator:Carur iyo xas bu leyaxay

Hussein Bary: Mshahara nina katwa baada ya mwezi tatu.

Translator: Aniga oo curiyan eh aya misharka laigayoyey.

Hussein Bary: Niliambiwa ukifanya kazi mda kidogo serikali unapata shillingi sabini na tano pension.

Translator: Mathama adh dhowlada ushaqeisey pension waxu noqonaya thowowatan iyo shan shilin.

Hussein Bary: Nikapatiwa nikapatiwa thirtyeight thousand ati niliambiwa wewe ni hundred percent capacity unaenda retire on

medical ground unapatiwa shilling alfu thalathini na nane peke yake.

Com.Swazuri: Tunataka utuambie unataka tufanye nini usaidiwe.

Hussein Bary: Mimi naongea kwa niaba ya disabled ambao wataumia siku sijazo na ambao walioumia sasa hivi. Mimi

nachukua, naongea kwa niaba ya watu wote.

Com.Swazuri: Ndio na sema ni sawa kungea kwa niaba ya watu wote lakini unataka watu watakao umia au walio umia

wafanyiwe nini.

Hussein Bary: Watu walioumia walipwe malipo kama mtu yu hai. Apatiwe pesa ambayo inawatosha mbaka siku za maisha

yake. Ya pili nataka watu ambao wanatembea na vilema wanatembea na viti watoto wao wapate masomo bure mpaka

university.

Translator: Marka waxan rawa in dhadki sas udawacmey inxaqotha dhurbawa lasiyo oo carurthothana ey dhowlada taclin

galiso.

Husseini Bary: Ya pili tunataka kushirikishwa tuseme kwa siasa tupatiwe nominated councilor tupatiwe nominated MP ili

tupate mtu ambaye anatutetea. Yani kama sisi ni jamii ya walemavu.

Translator: Waxan rabna in barlamanka nalugutharo oo nominated Councillor nalagadigi si an cothkena an udiwano.

Hussein Bary: Isitoshe kuna tuseme ee kikundu ambao wanajiita NDDK ambayo imetengenezwe na serikali kuna dollars

wanalipwa kila siku inapeanwa pesa tunaona kwa magazeti haitufiki kwa walemavu hata gazeti tuko nayo hapa sasa hivi

inaweza kuonyesha ninyi. Hapa hapa fifty million ilipeanwa na Danish pamoja na ambassador ya Germany hakuna pesa

amabayo tumepata ndio hii kwa gaseti hata munaweza kupiga picha muchukue ni millioni hamsini fifty million, ingetosha katika

tuseme katika Kenya tuko na ee province nane. Tungepata millioni sita North Eastern hakuna kitu tunapata. Kila siku ni namna

hii tunaona kwa gaseti na walemavu hakuna kitu chochote ambao wanapata.

Translator: Waxu yiriy markasta lacag ayalabixi oo curanka lasiya lakina anaga NorthEastern waxba nalagamasiyo.

Hussein Bary: Isitoshe hawa watu jirani yetu wanapata vifa ya kutembea naye kama tuseme motobike ya mguu mbili, mguu

tatu ambayo iko hapo mbele nimenunua kwa watu jirani mimi nimefanya mchango na watu wenzangu nimenunua kwa watu

jirani. Sisi hatupati, katika kenya unaona walemavu wanajikokota chini na hakuna kitu chochote ambayo wanapata.

8

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!