07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Com. Abubakar : Kwa hivyo unaunga mkono hiyo.

Mr. Francis arap Koech : Naunga mkono asirudi asipewe nafasi.

Com. Abubakar : Sawa uende ujiandikishe pale Mzee. Lakini hiyo karatasi ni yetu sasa.

Com. Ayonga : Hiyo, hiyo.

Com. Abubakar : Utuwachie tutafanyia kazi hiyo karatasi uiwache pale iwekwe kwa file.

Mr. Francis arap Koech : Haya wazee.

Com. Abubakar : Asante sana Mzee. Dada uko tayari sasa.

Speaker : Haya jina yangu

Com. Abubakar : Haya akimaliza huyu Mzee nitakupa nafasi dada halafu ndio ni rudi kwako Mzee, sawa?

Speaker : Ng’olyondenyun ko in…

Com. Abubakar : Mtu wa kutafsiri aje karibu.

Speaker : Ng’olyondenyun ko…

Com. Abubakar : Ngoja Mzee.

Mr. Zakayo Rono : Jina yangu ni Zakayo

Mr. Zakayo Rono : Ng’olyondenyun amache kesoman…

Com. Abubakar : Wale wanao zungumza hapo nyuma waache kuzungumza au waende kando tafadhali.

Mr. Zakayo Rono : Ng’olyondenyun amache kesoman kong’eten kilasit agenge mpaka university.

Translator : My suggestion is that people should learn from standard one to university.

100

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!