07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Francis arap Koech : Naunga mkono natural resource igawanywe wote wale karibu na hao kama forest, apewe

County Council ya area hiyo.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Francis arap Koech : Hii land Certificate hii land Title Deed, Title Deed itolewe kwa watu wawili Bibi na mama,

wakati huyo...

Com. Abubakar : Bibi na Bwana...

Mr. Francis arap Koech : Bibi na Bwana sorry, Bwana na Bibi iandikiwe hao wote maana mwengine akitoka mwengine

anasumbuliwa ku patiwa.

Com. Abubakar : Ya mwisho Mzee.

Mr. Francis arap Koech : Ministry of Agriculture ipewe nafasi kubwa ya kuendesha kazi ya agriculture maana agriculture

siku hizi imekwenda chini sana kwa sababu ya kutoelewa.

Com. Abubakar : Sawa

Mr. Francis arap Koech : Wanawake kuolewa mwanamke akiolewa na akitoka asirudi tena wakati Bwana akifaa

apewe nafasi. Yule ambaye ametoka kama miaka tano na kuenda juu...

Com. Abubakar : Hiyo imeshasemwe Mzee wangu...

Mr. Francis arap Koech : Imesemwe?

Com. Ayonga : Ehe!

Com. Abubakar : Hauja sikia ikisemwa na mtu?

Mr. Francis arap Koech : Pengine nilikua sija fika.

99

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!