07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

kurekebisha Katiba tuwe kimya kabisa, ukiwa na mazungumzo muende mbali kule muzungumze halafu mukimaliza murudi.

Ndio watu wanaotoa maoni wasikike vizuri. Tu wa heshimu.

Mr. Zacharia Kimei : Mimi nataka kuunga mkono huyu mzee ame ondoka maneno ya Provinces. Kuwe na Senate ya

kila Province, yaani mimi naunga mkono proportional system of Government.

Ya pili ni minority groups youth, women, disabled kutengewa viti katika bunge yaani denominated.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Zacharia Kimei : Ya tatu, Constitutional Supremacy hatutaki Parliament ikatekate Katiba yetu, sisi naunga

tunachukua muda ya miaka mingi halafu wanakatakata kwa siku chache. Tunataka referendum kukiwa na any change.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Zacharia Kimei : Citizenship. Hatutaki wageni wawe wa Kenya halafu sisi tunakosa kazi. Kwa hivyo Citizenship to

foreigners should be restricted.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Zacharia Kimei : Defence and Security. Rais ni mtu moja kwa hivyo hatutaki yeye atoe amri ya kwamba watu wa

sehemu fulani wa vamiwe na wanajeshi. Tunataka kamati ya watu tisa ili wapitishe maneno ya Defence and Security.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Zacharia Kimei : Political Parties: Hatutaki multiple political parties tunataka tu political parties, the ruling and the

opposing.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Zacharia Kimei : Pia nimesema Parliamentary system of Government: All appointments be vetted by Parliament.

Com. Abubakar : Sawa, ya mwisho Bwana Zacharia,

Mr. Zacharia Kimei : Bado bado

75

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!