12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Mr. Zacharia Kimei : Asante sana.

Com. Abubakar : Iwe mbili. Asante sana. [inaudible] if you have a written memorandum, sijui kama tume elewana, if

you have a written memorandum you come and give us highlights then you give the memorandum which we will then process.

Sijui kama ni sawa hivyo? Ndio kila mtu apate nafasi. Sasa namuomba Paul Lang’at. Na Paul naona kwamba umeandika

hapa una written memorandum. You give us the highlights. Chose what is very important in the memorandum don’t read, don’t

give us everything, choose what is very important, nauanze na zile ambazo hazikutajwa.

Mr. Paul Lang’at : Majina yangu ni Paul Lang’at kwa maoni yangu naona ya kwamba naunga mkono wale wame kuja

mbeleni ya kwamba tuwe na majimbo.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Paul Lang’at : Ya pili Serikali hii yetu tuwe na Governor, iongozwe na Governor na huyo Governor anachaguliwa na

wananchi kwa siku tafauti na wale ma Mp’s.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Paul Lang’at : Na tena tuwe na Local Government, na local Government is within the level of Provincial halafu kwa

hii Local Government is represented by Mp’s ambayo wata form the Lower House. Halafu wale watu wa Lower House wata

chagua representatives, watachagua Governor ya hiyo Province halafu hata representative to go to the Central Government

ambao wata zungumza maneno ya National Affairs. Hii ni ku amanisha ya kwamba hatutakuwa sasa na Local Authorities,

maneno ya ma-councillors sasa itakuwa hakuna, kwa sababu sasa maneno yetu inazungumzwa Province na kuna ma Mp’s

ambao hawata enda kwa Central Government watatuma tu representative to the there.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Paul Lang’at : Halafu kitu kingine tukienda sasa kwa Serikali we have the Government and then we have Supreme

Court and then Supreme Court should be under the Attorney General and Chief Justice and this Supreme Court all the Armed

Forces should be under Supreme Court and also the administrative line of the Government should be under the Supreme Court.

In this line we have the village elder from the Grassroots to Chief keeping the office of the Assistant Chief and then from Chief

to District Commissioner and then District Commissioner direct to the Supreme Court so…

Com. Abubakar : Kwa hivyo unatoa Assistant Chief na Do.

77