07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mr. Jackson Kipng’eno kimoche toretet en oratinwek ko makitinye en emoni.

Translator : Wana taka usaidizi kwa barabara, hawana barabara kwao.

Mr. Jackson Kipng’eno : Ng’olyot age kora

Translator : Neno lingine tena.

Mr. Jackson Kipng’eno : ko mi boisiek che toreti kirwogik chebo kokwotinwek

Translator : Kuna wazee wasaidizi wa Chiefs wazee wa kijiji.

Mr. Jackson Kipng’eno: en emotinwek tugul.

Translator : Kwa nchi yote.

Mr. Jackson Kipng’eno : Ko monyoru kiy any inne ago toreti serkali. Kimoche musaada kidogo koyob serkali.

Translator : Hawawezi kupatiwa chochote sasa anataka usaidizi kutoka Serikali.

Com. Abubakar : Sema unataka wafanyiwe nini wazee wa kijiji, walipwe mshahara...

Mr. Jackson Kipng’eno : Walipwe mshahara

Com. Abubakar : Basi hiyo tu.

Mr. Jackson Kipng’eno : Asante. Wana kazi yao wanafanya tu...

Mr. Jackson Kipng’eno : Chebo education…

Translator : Umesha sema tayari.

Mr. Jackson Kipng’eno : Okay, okay kuna watoto wale wa hakuna wazazi.

Translator : Mayatima umesema.

29

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!