07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Translator : Tutasoma kutoka kitabu cha mwanzo. [Genesis]

Mama Sophia arap Too : Ak kaitet taman ak aeng’

Translator : Mlango ya tatu.

Mama Sophia arap Too : kot koit taman ak sogol.

Translator : Tuanzie kumi na mbili mpaka kumi na tisa.

Mama Sophia arap Too : Si ogas tuguk che mochomdoi Jehovah.

Translator : Sasa inasema ya kwamba, “Bwana Mungu aka muambia mwanamke, nini hili ulilolifanya mwanamke

akasema nyoka alinidanganya, nikala. Bwana Mungu akamwambia nyoka, kwa sababu umeyafanya haya umelaaniwa wewe

kuliko wanyama wote, na kuliko haya, haya walio wote walioko mwituni kwa tumbo utakwenda na mavumbi utakula. Siku

zote za maisha yako nami nitaweka adui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake. Huyo utaku

ponda kichwa na wewe utamponda kisigino na akamuambia mwanamke hakika nitakuzidishia uchungu wangu kwa kuzaa

kwako, kwa uchungu utazaa watoto na tamaa yako ita kuwa kwa mumeo naye ataku, atakutawala, akamuambia Adamu kwa

kuwa umei sikiliza sauti ya mwanamke wako, ukala matunda ya mti ambayo nilikuagiza nikisema usiyale, ardhi imelaaniwa kwa

ajili yako kwa uchungu uta kula mazao yako siku zote za maisha yako. Michangamo na miba itaku zalia na nawe utakula

mboga za kundeni kwa jasho la uso wako utakula chakula hata utakaporudia ardhi ambayo katika hiyo uli tawalia, kwa maana

huu mavumbi wewe nawe mavumbini utarudi.

Mama Sophia arap Too : Ko ng’olyot nemi yon ko ne kimwoe Jehovah kwondo kolenji inyoli monung’otiot.

Translator : Maneno yale ambayo tumesoma Mungu aliambia mwanamke utaangalia Bwana yako

Com. Abubakar : Asante ambia mama asante sana.

Translator : Asante

Mama Sophia arap Too : Asante

Com. Abubakar : Ndirangu uje na kitabu mama assign hapa hapa tu. Hii kitabu kijana ana kuja nayo usign. Asante sana

41

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!