07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

usubiri nitakuambia useme. Nataka kujua kama Bwana Jackson Kipng’eno Maswai yuko hapa? Uko! Wewe ndio utafuata

Mzee wangu. Wesley Kirui? Wesley Kirui? Bwana Wesley baada ya Mzee utakuwa ni wewe. Halafu Esther Chereng’et

utafuata. Halafu Miss. M. Maiwa? M. Maiwa? utafuata wewe halafu Bwana Joseph Chepkwony? Bwana Joseph

Chepkwony? ukiwa tayari pia wewe. Rev. William Rotich? Rev. William Rotich? Sawa halafu Julius Yele? Mutafuatana

hivyo ndio tufanye kazi iende haraka haraka. Kwa hivyo uendelee utaje jina utoe maoni.

Mr. Philemon Kireni : Asante sana kwa majina ni Philemon Kireni natoka Chemamul? Location Koiolel? sub-Location.

Ni asante sana kwa nafasi ambayo nimepata ile nitoe maoni yangu juu ya maoni ya kutoa Katiba.

Maoni yangu ni kuhusu uchaguzi na uchaguzi ningependa kutoa maoni yangu kwamba...

Com. Abubakar : Ngojea kidogo, nadhani kuna watu wamekuja wame chelewa wa jiandikishe kule na kabla hatuja anza

tulisema kwamba kwa sababu tumekitambua hiki kuwa kikao rasmi cha Tume ya kurekebisha Katiba mtu anaye ruhusiwa

kuzungumza ni mtu anaye toka kwenye meza hii au aliye pewa fursa ya kuzungumza. Ikiwa kuna mtu mwingine anataka

kuzungumza waende kando kabisa wazungumze wamalize maneno yao halafu warudi hapa. Hapa pako kama mahakamani,

hakuna mtu kuzungumza isipokuwa aliye pewa ruhusa ya kuzungumza. Sijui kama tunaelewana hivyo? Ni sawa? Kwa hivyo

tumupe fursa Bwana Philemon Kireni kama wenzake. Bwana Philemon.

Mr. Philemon Kireni : Asante. Nilikuwa nimesema natoa maoni juu ya uchaguzi. Uchaguzi ufanyiwe siku isio wakati wa

mwisho wa week. Ifanyiwe siku ambazo ni siku za kazi.

Ya pili ni kuhusu disabled. Kwa disabled ningependa kutoa maoni yangu wapewe employment sawa kama watu wengine. Pili

wapewe funds ya kufanya biashara hata wale wako reserve wapatiwe pesa. Ya tatu hapo, ni walemavu pia waruhusiwe

wachaguliwe kama viongozi wengine. Nne hapo ningependa pia watoe sheria wasirudishwe kwa magari [inaudible] Maoni

yangu ya mwisho wapatiwe free medical services na education. Hiyo ndio maoni yangu. Asante sana.

Com. Abubakar : Unaposema unataka walemavu wachaguliwe wawe wana teuliwa, nomination au watengewe vitu vyao,

wachaguliwe na walemavu au na watu wenyewe?

Mr. Philemon Kireni : [inaudible]

Com. Abubakar : Sawa uende pale ujiandikishe pale tafadhali.

[inaudible]

25

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!