07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

wazee ya zamani wale ambaye walipoteza, pengine Mzee alipoteza... hakuwa na kipande, alipoteza kipande na iko na Land

Transfer. Hii tungeweza kuwaachia wazee wa kijiji na Chiefs kwa sababu hawa ndio wanajua. Kuliko kumuambia atafute

kipande au atafute Death Certificate na huko zamani ili kua hiyo maneno hapana iko. Tukiwaachia wazee.

Com. Abubakar : Unataka mambo ya ardhi au [inaudible] wazee..

Mr. Joseph Kiptum arap Koech : Waambie wazee na Assistant Chief.

Com. Abubakar : Sawa

Mr. Joseph Kiptum arap Koech : Distribution of land and natural resources : iwe kwa pahali hiyo vitu ili tokea kama

County Council au kijiji hiyo wa-mange mali zao.

Ingine ni mambo ya hii pombe ya kienyeji brewing: Kwa maoni ya wazee ambaye nimetembea nao wanasema hii maoni ya

pombe ya zamani ya kienyeji, traditional drinks iwe-allowed. Halafu ma-chief wapeane mabarua kwa sababu hii mambo ya

kuiba iba ndio inafanya watu wanalewa zaidi. Hiyo ni maoni ya wazee.

Com. Abubakar : Nasema hiyo sio kazi ya chief sasa una sema pombe ya kienyeji ihalalishwe.

Mr. Joseph Kiptum arap Koech : Ihalalishwe...

Com. Abubakar : Sawa...

Mr. Joseph Kiptum arap Koech : Okay...

Com. Abubakar : Lakini ili ingine ya kuongezea [inaudible]

Mr. Joseph Kiptum arap Koech : Okay. Tena ingine ni kwamba maneno ya ma-chief ile ya zamani, ile Chiefs Act

irudishwe ikae kama zamani...

Com. Abubakar : Sawa...

Mr. Joseph Kiptum arap Koech : Halafu hawa wawe na nguvu zaidi...

Com. Abubakar : Sawa...

17

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!