07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Com. Abubakar : Sawa

Mr. Jackson Kipng’eny Chepkwony : Hata ingawaje tunasema haki, haki, haki. Mungu alijua nani ni kiongozi ya

familia.

Com. Abubakar : Sawa Mzee

Mr. Jackson Kipng’eny Chepkwony : A man is the Head of the family.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Jackson Kipng’eny Chepkwony : When the husband dies the widow inherits the property of the man, husband kwa

hivyo wakati hii yote mali ni niya Bwana, capital letter. When the husband dies the clan sits and chose who heads the family.

The clan wajue ni nani atamlimda huyu mjane ili asije akatoweka na clan na achukue mali aende inje, mpaka watu wamepotea

na watoto. Recognition of every family should be know that they have Katiba na yule ambaye anaongoza hiyo Katiba kwa

hiyo family is the man.

Com. Abubakar : Umeshasema hiyo Mzee wangu mara tatu sasa umeniambia mpaka in capital letters.

Mr. Jackson Kipng’eny Chepkwony : Iingie kabisa ndani ya kichwa.

Com. Abubakar : Sawa Mzee.

Mr. Jackson Kipng’eny Chepkwony : Election should not be done before we complete Katiba hata kama itachukuwa

miaka kumi tumalize kwanza Katiba.

Court matters should consult clan elders in areas e.g. land matters, widow matters, children matters. Mtu akipiga mtu na mkuki

kwa shamba na afungwe na kwa kimila tunajua huyo mtu angelipwa ridha kwa kimila hata kufungwa hiyo hesabu inagali iko.

Com. Abubakar : Sawa Mzee.

Mr. Jackson Kipng’eny Chepkwony : We believe that one.

Com. Abubakar : Sawa Mzee wangu. Useme mawili ya mwisho haraka.

67

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!