07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Women’s Group. Maoni yangu ni hivi. Nasema kwa wajane wale wamama kama Bwana zao nakufa washemeji ndio wana

sumbua yule mama ame wachwa.

Com. Abubakar : Unataka je sasa

Ms. Pascallia Kipkorrir Sitonei : Mimi nataka wamama wapewe mali ya Bwana yake. Hatutaki interference kwa watu

wengine, kama mtu anakufa watu wanaona yule ana baki sio mtu. Lakini hiyo ni lazima achunge boma yake.

Ingine ni, mimi nasema kwa Mayatima wale wazazi wao wamekufa ndio kama iko na uwezo hawa wasaidiwe, kwa sababu

hakuna mtu ana angalia watoto tu peke yao lakini hakuna hawajui maelekeo.

Com. Abubakar : Sawa

Ms. Pascallia Kipkorrir Sitonei : Wengine ndio tunataka wazee wa kijiji wako na kazi mingi sasa kama ina wezekana

apewe hata msharara ya kazi yao wanafanya.

Com. Abubakar : Sawa

Ms. Pascallia Kipkorrir Sitonei : Ingine ndio tunataka wale watoto wadogo wana zaa nyumbani ndio vijana ndio

wanapee hawa watoto...

Com. Abubakar : Dada ngoja kidogo, nilikua nimetoa sheria ya kwamba hapa haturuhusi watu kuzungumza, Mzee wangu

hapo, haturuhusu kabisa mtu yeyote kuzungumza isipokuwa waliopewa ruhusa na Tume. Asanteni. Mpeni dada na fursa

aseme. Asante sana.

Ms. Pascallia Kipkorrir Sitonei : Nasema watoto wale wana zaa kabla kama ni wa dogo ndio vijana ndio wana patia

hawa watoto, sasa wale wasichana ndio wako na taabu sana kwa kuchunga hawa watoto. Sasa huyu kijana na patia huyu

msichana mtoto ndio huyu kijana ndio lazima achunge huyu mtoto wa wasichana wale wana zaa.

Com. Abubakar : Sawa

Ms. Pascallia Kipkorrir Sitonei : Na tena wale watoto wame zaa nyumbani na afadhali hata wapewe hata mali hata hao

kwa sababu huyu msichana ndio wa yule nyumba sio vijana peke yao. Ni lazima apewe hata mali.

Com. Abubakar : Sawa

59

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!