07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Com. Abubakar : Mzee wangu alipo kuja hapa Mzee akasema ikifikisha miaka miwili iishe, ulikuweko?

Mr. Francis Cheruiyot : Nilikuweko...

Com. Abubakar : Sasa si useme una-support hiyo...

Mr. Francis Cheruiyot : Na-support hiyo...

Com. Abubakar : Basi...

Mr. Francis Cheruiyot : Ingine ni compensation. Kuna hii mashamba imechukuliwa na Municipal, County Council lakini

walichukua zamani wakati watu walikuwa wame kamata shamba lakini haja lipia compensation. Kwa nini hapana patiwa

compensation kama wame faidika na hiyo shamba

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Francis Cheruiyot : Ingine hi kuhusu Chief. Ma-Chief nataka ku, mimi mwenyewe, mimi nataka ku elect...

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Francis Cheruiyot : Chiefs

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Francis Cheruiyot : Na Mzee wa kijiji alipwe pesa shauri anafanya kazi kubwa kuliko hata Chief. Kuna hawa

landless, hawa ma-squatters ya kila shamba apatiwe shamba kwa hiyo shamba shauri iko watu wamekua squatters na wali kua

amefanya kazi hapo kusaidia hiyo kampuni.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Francis Cheruiyot : Ningetaka hiyo landless ipatiwe shamba, na nataka tena ile shamba ilikuwa na ibwa ya landless

irudishiwe watu wale wali kua na poor.

Com. Abubakar : Sawa.

91

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!