12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Mr. Julius Matiguwany : And next medical services should be free, basic education that is Primary should be free.

Electorates should recall their Mps in case they absent themselves in their constituencies for more than at least a month, and also

councillors should always be with the people in case they absent also themselves. Minimum percentage of the electorate should

sign and recall them back.

Okay lastly Electoral Commission should be independent of the Office of the President.

Thank you.

Com. Abubakar : Asante sana Bwana Julius uende pale ujiandikishe. Bwana Peter Koech.

Mr. Peter Koech : Mimi nita sema hivi nchi yetu hii inaitwa Kenya...

Com. Abubakar : Unge songea karibu na mic Mzee wangu [inaudible]

Mr. Peter Koech : Mimi naitwa Peter Koech.

Com. Abubakar : Sawa,

Mr. Peter Koech : Nchi hii yetu ambaye inaitwa Kenya, ni watu ambaye waliungana pamoja lakini hawa kuungana lakini

wazungu walileta hawa pamoja na kutawala. Hakuna wakati wowote hao watu walisema tuko pamoja na tuna tengenezwa sisi

wote tuko watu wa Kenya.

Com. Abubakar : Unataka je Mzee?

Mr. Peter Koech : Tunataka hivi. Tunataka maagizo mapya, we need a new agreement for all the tribes of this country to

agree that we have today from a particular time, sisi tumekuwa Kenya. Na lazima wapewe haki sawa. Yale mashamba

ambaye yalichukuliwa na wazungu iwekwe au irudishwe kwa wale ambao wali nyanganywa.

Tuna taka Serikali ya majimbo halafu kila mtu atakuwa aki tawala kwake na ata linda security vile yeye anapenda. Serikali

itakuwa Federal Government na Provincial Government hiyo ndio inaleta majimbo mzuri.

Maneno ya mashamba ni mbaya kabisa na tunataka hii Commissioner of Lands iwe abolished na iletwe kwa District level.

53