12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Mr. Jackson Kipng’eno : Nimesema...

Translator : Umesema orphans tayari.

Mr. Jackson Kipng’eno : Okay asante. Asante asante. Hakuna mambo ingine. Asante asante

Com. Abubakar : [inaudible] Mzee [inaudible] Bwana Wesley Kirui? Wesley Kirui? Bwana Wesley Kirui. Njoo

tafadhali haraka kila uki jivuta vuta muda unazidi kwenda. Esther Chereng’et ajifanye awe awe tayari. Baada ya Wesley ata

kuwa ni yeye. Ndio taja jina uendelee.

Mr. Wesley Kirui : Basi kwa majina naitwa Wesley Kirui, ni asante sana kwa fursa huu nimepata ili nipate kutoa maoni

kuhusu Katiba. Yangu kabisa ningependa kutambulisha kusema ya kwamba, sisi vijana tumekosa sana kazi hapa nchini Kenya.

Hasa vijana ambao tumesha maliza shule kama sisi. Tuko tu nyumbani bila kazi...

Com. Abubakar : Bwana Wesley hiyo ni stakabadhi tuna jua kwamba kuna ukosefu kwa uajiriaji wa vijana, unataka je?

Mr. Wesley Kirui : Basi nataka sasa viongozi, Kenya wote waajiri vijana kama sisi kupata kazi.

Com. Abubakar : Na ikiwa hakuna kazi?

Mr. Wesley Kirui : Basi kama hakuna kazi ufanye juu chini utafutie kazi kama kuelimisha ama upatie yeye sehemu fulani

kama kumpuni kama estate ili tupate kazi.

Com. Abubakar : Sawa

Mr. Wesley Kirui : Ya pili tena ningependa kusema ya kwamba free education should be there also. Kwa maana ni...

Com. Abubakar : Kitu kama free education tunaelewa.

Mr. Wesley Kirui : Haya ni asante, so also free treatment.

Com. Abubakar : Sawa

Mr. Wesley Kirui : Haya ndio matatizo yangu ambaye niko nilikuwa nayo kwa asubuhi ya leo, ni asante.

30