12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
kazi ya kufanya na ongeza taabu.

Ya tatu, mimi kuna shamba kidogo kidogo iko Title Deed mbona Serikali hapana pea sisi stima halafu tupate kulipia pesa

kidogo kidogo mpaka deni na kwisha.

Ya nne, wasichana, wasichana wetu na wasichana wetu nataka kutafutia hawa sheria ya kuwacha mtindo ya kutembea ovyo

ovyo, na kuongeza marifa mbaya mbaya bila, mpaka nchi haiku kuwa ha hekima?.

Na komea hapo.

Com. Abubakar : Asante sana Mzee uende pale Mzee ujiandikishe, asante sana. Sasa namuita Joseph Sigilai? Bwana

Joseph Sigilai? Halafu wale wengine, Eric Kerich? yuko hapa? Eric? Eric Kerich? Narudia mara ya mwisho, Eric Kerich?

Wewe ni Joseph sio? Wewe ni Eric? Eric subiri pale, nimemuita Joseph Sigilai? Joseph Sigilai? Hayuko? Kwa hivyo wewe

kaa hapo uta anza wewe, ngoja lakini usubiri, keti usubiri niite wengine. Wewe ni Eric. Haya. Julius Matiguwany? Julius

Matiguwany? Uko? uko karibu. Wewe ndio utafuatia. Peter Koech? Peter Koech? Mzee unge kuja pale karibu ndio

ukiitwa uje mara moja. Zacheaus Sang? Mukae pale karibu na Mzee. Betty Kipkorrir? Betty Kipkorrir? Dada Betty

Kipkorrir? Alice Koskei? Alice Koskei? Alice mama Alice! uje pale karibu ukae chini ya mti ndio tukikuita ndio pale pale

mama, pale juu. Uwe karibu. Haya kijana uanze nautaje jina nauendelee

Mr. Eric Kerich : Kwa majina...

Com. Abubakar : Inua kidogo...

Mr. Eric Kerich : Kwa majina Eric Kerich, na mapendekezo yangu moja tuwe na boundaries, communal boundaries

permanent halafu, hiyo ita reduce mambo ya tribal clashes. Hii watu wanapigana, kamawange kuwa na ma boundaries yao

hawange kuwa wana pigana.

Com. Abubakar : Sawa...

Mr. Eric Kerich : Kwa watoto wale wana zaliwa free free mini na propose abortion iwekwe legalized halafu...

Com. Abubakar : inaudible

Mr. Eric Kerich : Ma-business tena makubwa, iwekwe, kwa kila ma-area wawe na hizo ma-business kwa sababu watu

wote wata fanikiwa kwa kila area hizo.

51