12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Ms. Pascallia Kipkorrir Sitonei : Ingine ndio tunataka democracy kama mama ana amuka kuomba kiti ni lazima apewe

ruhusa sio kusema huyu ni mama hawafanyi chochote. Lazima wamama hata waongoze kwa ile sheria

Com. Abubakar : [Inaudible] au watengewe viti vyao wakina mama peke yao watu wa wachague.

Ms. Pascallia Kipkorir Sitonei : Watu wa wachague.

Com. Abubakar : Sawa.

Ms. Pascallia Kipkorir Sitonei : Nafikiri na maliza hapo.

Com. Abubakar : Asante sana dada uende pale usubiri huyu Bwana akimaliza na Mzee utasign yetu. Bwana Eric

Chepkwony

Mr. Eric Chepkwony : Kwa majina ni Eric Chepkwony yangu tu ni kugusia juu ya masomo. Nataka masomo kutoka

Primary mpaka Form Four iwe free masomo.

Com. Abubakar : Karibia mic

Mr. Eric Chepkwony : Okay tunataka masomo iwe free kutoka Nursery mpaka Form Four kwa sababu tuna ona siku

hizi

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Eric Chepkwony : Hawasomi.

Maneno ya tena hospitali tunaona watu wanakufa, tupatie wananchi wawe free kwa sababu watu wanakufa tu.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Eric Chepkwony : Halafu tena mimi na ingilia ya kortini tunaona siku hizi mtu anaenda kortini miaka tatu na kesi

hapana kwisha tunataka, naomba Serikali iwe kesi tunafanya mara moja. Kesi ikifanyika mtu anaenda mara mbili ama mara

tatu. Kwa sababu tunaona wananchi wamepoteza pesa yao kwa kwenda kortini kila siku.

60