07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mr. Jeremiah Siele : Asante sana kwa majina mimi naitwa Jeremiah Siele kutoka Kiptoo? Mapendekezo yangu ni hii.

Ya kwanza nimesikia ya kwamba wazee kweli wako na kazi kwa vijiji vyao ina shinda hata ya watu wengine tafadhali patia

mshahara.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Jeremiah Siele : Ya pili Constitution ikamilike kabla Election ya Parliamentary.

Com. Abubakar : Sawa, unaona sasa Mzee amesema jambo ambalo halija tajwa na mtu. Ikiwa uje hapa ukiwa na jambo

jipya hilo ni la nguvu kwa sababu usiende nalo nyumbani. Likiwa limetajwa tayari tumetia kwa kitabu na kwenye machine haina

wasiwasi. Ikiwa una jambo jipya uanze na hilo. Asante Mzee.

Mr. Jeremiah Siele : Ni hayo tu asante.

Com. Abubakar : Asante sana Mzee uende pale ujiandikishe. Bwana Pius Ruto?

Mr. Pius Ruto : Kwa majina mimi naitwa Pius Ruto natoka Sikowet. Mapendekezo yangu ni kuhusu wazee na wa kina

mama. Mzee hana ruhusa kuuza chochote nyumbani ikiwa ni ng’ombe ama mbuzi kabla hawaja elewana na mama. Hiyo ni ya

kwanza. Mzee hana ruhusa mama hana ruhusa mpaka hawa wawili wamesikilizana.

Ya pili ni hii malipo ya hospitali, cost sharing iondolewe kabisa kwa mahospitali ya Serikali

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Pius Ruto : Ya tatu nafikiria hata ndugu yangu ame sema ingine, ni wazee wavijiji Serikali walipa hawa wazee

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Pius Ruto : Jambo la mwisho ni majimbo tunapendekeza majimbo. Asante sana ni hayo tu machache.

Com. Abubakar : Asante sana ndugu uende pale juu ujiandikishe. Bwana Pius Bet ni zamu yako sasa. Bwana Pius Bet?

Bwana Pius Bet mara ya mwisho? Hayuko. Bwana Isaiah Tanui? Bwana Isaiah, ndugu yangu wewe ulikaa hapo ulikuwa jina

lako nani. Hawa ndugu wawili. Nyinyi wawili wa mbele hapa maanake. Maanake nilikuwa nasema hizo viti vya mbele na wa

wekea watu nita waita wakae hapo. Nilikuwa nime waita? Murudi nyuma kidogo tu tafadhalini niwachieni hizo viti vya mbele

62

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!