07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

wengine. Nataka ufafanue kwa maana Kenya ni moja na watu watakuwa wakisafiri kutoka upande moja mpaka ingine, kutoka

Maragoli kupitia nchi ya Kalenjin mpaka kufikia nchi ya Kikuyu au nchi ya Jaluo au nchi ya Mombasa. Unasema namnagani?

Mr. Benjamin Ngetich : Mimi nasema hapo...

Com. Asiyo : Nataka kujua...

Mr. Benjamin Ngetich : Ataweza kweli mtu akae na kama anataka kutoka... anataka kupita kwa...

Com. Abubakar : Ngoja Mzee

Mr. Benjamin Ngetich : Sisi tuko Kenya...

Com. Abubakar : Ngoja Mzee, ngoja Mzee

Mr. Benjamin Ngetich : Ehe!

Com. Abubakar : Kama nimemuelewa Mzee amesema hivi. Wakati wa ukoloni ilikuwa ukitaka kwenda nchi ya, mahali

kwa watu wengine unapewa pass.

Mr. Benjamin Ngetich : Ehe!

Com. Abubakar : Mzee anasema watu waende, lakini wapewe pass. Hivyo ndio unasema...

Mr. Benjamin Ngetich : Kama ukisha toka kwa boma yako, kwa sababu kama mimi niko kijijini hapa kweli kama

unataka kupita mbali naenda kuuza kitu yangu naweza kupata kutoka ile permit wale wanaweza kusoma Oh unaenda kweli

kama siku Narudi unaona kama wewe uko na hiyo inaweza kuwa mzuri. Mimi sikatai kutembea na Kenya yote. Naweza

tembea lakini naweza kuona vile kitambulisho gani unatoka wapi. Hiyo inaweza kuwa safi.

Com. Asiyo : Lakini hii ya Identity Card hapana tosha...

Com. Abubakar : Ya Kenya...

Mr. Benjamin Ngetich : Kenya gani wewe na sema hiyo...

21

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!